MABAO mawili ya Mesut Ozil na Olivier
Giroud yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 nyumbani katika mchezo wa Ligi ya
Mabingwa Ulaya usiku huu dhidi ya Napoli Uwanja wa Emirates.
Ozil alifunga bao safi dakika ya nane
akimtungua kipa hodari Pepe Reina, hilo likiwa bao lake la kwanza tangu
ajiunge na timu hiyo kutoka Real Madrid kabla ya Olivier Giroud kufunga la pili dakika ya 15.
Kikosi cha Arsenal kilikuwa: Szczesny,
Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Flamini, Arteta, Ramsey/Monreal
dk88, Ozil, Rosicky/Wilshere dk63 na Giroud.
Napoli:
Reina, Mesto, Albiol/Fernandez dk83, Britos, Zuniga, Behrami, Inler,
Callejon/Zapata dk77, Hamsik, Insigne, Pandev/Mertens dk61.
Too hot to handle: Mesut Ozil (centre) celebrates the opening goal with his Arsenal team-mates
What a finish: Ozil latched on to Aaron Ramsey's cross to side-foot the ball past Pepe Reina
Back of the net: The German playmaker's cool finish flies past the helpless former Liverpool goalkeeper
Back of the net: The German playmaker's cool finish flies past the helpless former Liverpool goalkeeper
Flying start: The French striker celebrates his sixth goal of a successful season so far
All the time in the world: Ozil takes a touch during a stellar performance for his new club in Europe
Pleasant viewing: Arsene Wenger watches his team cruise to victory from the sidelines
I know you: Wenger and Rafa Benitez shake hands before kick-off, but the match turned sour for Napoli's boss
Pulling the strings: Aaron Ramsey was again influential for Arsenal in midfield
Reduced role: Jack Wilshere (centre) was dropped to the bench but was brought on in the second half
Passion: Napoli supporters stoked up a heated atmosphere at the Emirates Stadium
These boots are made for scoring: And Ozil's boots certainly walked all over Napoli at the Emirates
MABAO mawili ya Ramires
moja kila kipindi, moja la wenyeji kujifunga na moja la Frank Lampard
yamempa furaha kocha Mreno, Jose Mourinho baada ya Chelsea kuichapa Steaua Bucharest mabao 4-0 katika Ligi ya Mabingwa usiku huu.
Kikosi cha Chelsea kilikuwa: Cech,
Ivanovic, Terry, Luiz, Cole, Ramires, Lampard, Oscar/Azpilicueta,
Mata/Willian dk80, Schurrle na Torres/Eto'o dk11.
Steaua:
Tatarusanu, Georgievski/Varela dk71, Szukala, Gardos, Latovlevici,
Bouceanu, Filip, Popa/Kapetanos mapumziko, Stanciu, Tanase na
Piovaccari/Tatu mapumziko.
Mawili: Ramires akishangilia bao lake la pili katika ushindi wa 3-0 wa Chelsea
Ramires akifunga bao lake la pili
Fernando Torres alitolewa nje baada ya kuumia dakika ya 11 na nafasi yake kuchukuliwa na Samuel Eto'o
Ramires akifunga bao la kwanza kabla ya kwenda kushangilia na Juan Mata (chini)
Bado wamo: Shuti la Samuel Eto lilimbabatiza mchezaji wa Steaua akajifunga
Pati la ushindi: Frank Lampard (kushoto) akishangilia bao lake la dakika za majeruhi lililohitimisha ushindi mnono wa 4-0
Katika mchezo mwingine, bao pekee la
Fabregas dakika ya 75 lilitosha kuipa ushindi wa ugenini, Barcelona wa
1-0 dhidi ya Celtic nchini Scotland.
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Bartra, Adriano, Xavi, Busquets, Iniesta, Fabregas/Tello dk78, Pedro/Sanchez dk74 na Neymar.
Celtic: Forster, Lustig/Forrest dk70,
van Dijk, Ambrose, Izaguirre, Matthews, Brown, Mulgrew, Samaras,
Commons/Pukki dk86, Stokes/Kayal dk70.
Kichwa, nyavuni: Cesc Fabregas (chini) aliunganisha krosi ya Alexis Sanchez kumtungua Fraser Forster
Sherehe: Barcelona wakimpongeza mfungaji wa bao lao pekee, Fabregas
Anatisha: Fabregas akipiga ngumi hewani baada ya kuipa ushindi Barca
Katika mchezo mwingine, bao la dakika
mwishoni mno la mkwaju wa penalti wa Mario Balotelli limeinsuru AC Milan
kulala baada ya kupata sare ya 1-1 na Ajax katika Kundi H.
Waholanzi walifikiri wameshinda baada ya
bao la kichwa la Stefano Denswil dakika ya 90, lakini kulikuwa kuna
zali la Balotelli aliyechezewa rafu na Mike van der Hoorn kwenye eneo la
hatari na mwenyewe akaenda kufunga kwa tuta..
Mkombozi: Mario Balotelli akifunga kwa penalty dakika za lala salama kuinusuru AC Milan kulala kwa Ajax
Fungeni midomo yenu: Mario Balotelli akipongezwa na wenzake kwa kazi nzuri
Schalke inaongoza kundi E kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Basel, bao pekee la Julian Draxler dakika ya 54.
Washindi wa pili wa msimu uliopita,
Borussia Dortmund walipata pointi zao za kwanza baada ya kuifunga
Marseille ambayo haina pointi hadi sasa mabao 3-0.
Dortmund iliyofungwa na Napoli wiki
mbili zilizopita, ilipata mabao yake kupitia kwa Robert Lewandowski
dakika ya 19 na 79 kwa penalti na Marco Reus dakika saba baada ya kuanza
kipindi cha pili.