Mimi ni Msichana wa makamo tu nimeolewa
miaka miwili sasa na nina watoto wawili , nafanya kazi kwenye kampuni
moja kubwa tu hapa Dar es salaam , hivi karibuni nimekuwa na rafikia
ambae tuna fanya nae kazi hapa ofisini ambae nimekuwa nikimwelezea
matatizo yangu na mme wangu kuwa aniridhishi kitandani....cha ajabu
aliniambia kama ninataka kuridhika bora niingie katika usagaji ..cha
ajabu aliniweka wazi kabisa kuwa yeye huwa anasagwa na huwa anasikia
raha sana kiasi wanaume si deal kwake ..Toka aniambie hivyo kila akija
ofisini kwangu ananibusu na kunikumbatia kwa nguvu...Juzi alitaka
kunivua chupi nikakataaa kabisa kwani bado hainiingiii akilini kufanya
mchezo huo na msichana mwenzangu ....japo kwa upande mwingine natamani
kujaribu ....Naomba ushauri nifanyaje....No matusi pliz
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.