Like Us On Facebook
Showing posts with label UTAFITI. Show all posts
Showing posts with label UTAFITI. Show all posts

HASARA NA FAIDA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUPIGA PUNYETO....

Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….

Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.

Leo tutaongelea Hasara na faida za kujichua au kujichezea kwa mwanamke.

HASARA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUJICHUA


Kujichua kwa mwanamke kiasili hakuna madhara yeyote, lakini kama unatumia au unajingizia vitu au vifaa Ukeni (Sanamu) zinaweza kukusababishia maaambukizo, "kutifua" misuli ya uke na kusababisha uke wako kulegea, nyama kujitokeza kwa nje.


Ukizoea kutumia Sanamu kujichua utashindwa kusikia utamu kila utakapofanya ngono na mwanaume kwa vile sanamu ni ngumu japokuwa watu watakudanganya kuwa ziko na texture kama uume asilia lakini sio kweli, Mungu aliumba uume kwa ajili ya kuingia ukeni na sio sanamu.

Mazoea hayo yatakufanya kihisia udhani kuwa mwanaume hana uwezo wa kukuridhisha kingono na hivyo kumuomba akufanye kwa kutumia sanamu badala ya uume wake kitu ambacho nitakiita "madhara ya kujichua kwa kutumia sanamu".

FAIDA ZA KUJICHUA:

1)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.

2)Kujua "vipele vyako viliko".

3)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.

4)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.

UTAFITI: FAHAMU MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (MASTRUBATION)...

Je Kuna Faida au Hasara ya Kupiga Punyeto?   Ili tuweze kuongezeka inatubidi tuzaliane kama viumbe wengine, na hatuwezi tu kuzaliana bila ya kujamiiana, na hatuwezi kujamiiana bila ya kuwa na hisia zitakazotupelekea kufanya kitu kama hicho.
 Katika maumbile ya mwanadamu hupata hisia hizo anapofikia umri wa kubalehe na ndio hapo huanza kuona mambo mageni kiasi cha kumfanya ajione tofauti na wengine hata kama nao walishapitia hatua kama hiyo.  
Katika hatua hii ndio mbegu za uzazi (Sperms) zinaanza kutengenezwa na kukomazwa, hali inayomfanya mtu kuwa na hisia za kutaka kuwa na mwenzake (Girlfriend) ili atimize haja zake. Kwa asilimia kubwa ya vijana wa sasa hujichua ili kuondoa hisia hizi pale wanapokosa wapenzi, na imeathiri vijana wengi sasa bila ya wao kujua.  
Kitendo hiki cha kujichua kinachojulikana kama "Kupiga punyeto” in English "Masturbation” huleta madhara ya muda mrefu ambayo ni vigumu mtu kugundua.


 Hebu tuangalie baadhi ya madhara ya kitendo hiki:
  
1. Upungufu wa nguvu za kiume. Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.  
2. Kutofurahia tendo la ndoa. Kumbuka kuwa unapopiga punyeto unatumia mkono ambao unapewa amri na ubongo ya kufanya kile ambacho nafsi itaridhika, hivyo lazima utatumia nguvu nyingi za mkono kwa kadiri ya matamanio ya nafsi yako yanavyohitaji hali itakayopelekea kutofurahia tendo la ndoa kwani hapo utakuwa hutumii mkono bali ni kiungo kingine ambacho hukiamrishi wewe kufanya vile utakavyo.
3. Madhara ya ndani ya sehemu za siri. Kitendo cha kupiga punyeto hutumia sabuni ambayo ina kemikali, hivyo kitendo cha kusugua sugua kwa kutumia sabuni huifanya ipenye ndani au kwenye vitundu vidogo vya ndani ya ngozi na kuweza kukusababishia madhara mbalimbali. Ni wachache sana ambao hawatumii sabuni lakini bado haina faida kwani huweza kupata athari kwa sababu zingine.  
4. Kupunguza uwezo wa kufikiri. Wafanyao kitendo hiki hutumia nguvu nyingi za akili kuwaza kuwa yuko na fulani kumbe sio kweli, yeye yuko peke yake bafuni na sabuni yake tu. Hali hii huumiza sana akili kwani ni kitendo cha kila siku na kwa vijana wengine hufanya mara mbili au zaidi kwa siku kutegemea na hisia zake, hivyo akili huchona na uwezo wa kifikra unapungua kwa kiasi kikubwa sana.    
5. Kukosa nguvu katika magoti. Kufanya sana kitendo hiki hupunguza mafuta yalio katika viungio vya magoti na kufanya magoti kukosa afya na nguvu.  

Unaweza kujiuliza sasa kama ni kijana ufanyeje ili uepukane na hili? Na je? Utadhibiti vipi hisia zako?
Ni rahisi sana fanya haya yafuatayo:  
1. Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria juu ya matamanio. Kumbka kuw amatamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya muhimu kulingana na wakati wako.
 2.  Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.  
3. Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.  
4.   Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.  
5.     Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.  
6.  Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bila umuhimu wowote na epuka kujisugua au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.  
Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika naye kwa athari ya mkono wako.  
Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend) sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).  
Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako  na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri,utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki.

HATARI!! MBEYA, NJOMBE NA IRINGA WANAONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA UKIMWI TANZANIA..

Mwenyekiti wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Fatma Mrisho.

MSEMAJI wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Glory Mziray hivi karibuni alisema Mkoa wa Njombe, Mbeya na Iringa ni vinara wanaoongoza kwa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi nchini.

Alisema Njombe inaongoza  kwa asilimia 14.8 ikifuatiwa na Iringa kwa asilimia 9.1 na Mkoa wa Mbeya unashika nafasi ya tatu kwa asilimia 9.
Mingine na asilimia za maambukizi katika mabano ni Ruvuma (7.2), Shinyanga (7.4), Dar es Salaam (6.9) Rukwa (6.2), Katavi (5.9), Pwani (5.9),Tabora (5.1), Kagera (4.8) na Geita (4.7).
Mikoa mingine aliyoitaja ni Mara (4.5), Mwanza (4.2), Mtwara (4.1), Kilimanjaro (3.8), Kigoma (3.4), Simiyu (3.6), Morogoro (3.8), Singida (3.3), Dodoma (2.9), Manyara (1.5), Lindi (2.9), Tanga (2.4), Unguja (1.9) na Pemba (0.3).
Mziray alisema takwimu hizo zinatokana na utafiti uliofanyika mwaka juzi hadi mwaka jana. Kutokana na matokeo hayo, alisema maambukizi ya Ukimwi yamepungua kwa kasi ndogo.
Alisema Watanzania walioonesha kuwa na ufahamu sahihi wa elimu kuhusu Virusi vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi wanafikia asilimia 60 jambo linalosababisha kuwepo mwamko mdogo wa kubadili tabia.
Kuhusu tohara kwa wanaume, alisema inapunguza maambukizi ya Ukimwi kwa asilimia 60 na kusisitiza kuwa ipo haja ya kutoa elimu zaidi juu ya uelewa wa ugonjwa huo.

MAZOEZI MATATU YA KUZUIA MATITI YA MWANAMKE YASILALE NA KUWA MALAPA


                      Ikiwa wewe umechelewa(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako yanaota) basi msaidie mdogo wako au binti yako anaekuwa hivi sasa, ili asije kujisikia vibaya pale wanaume watakapokuwa wakiponda  matiti kwa kuyaita "malapa"....Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako pumzike, kwamba hakutakuwa na kuning'inia kama utakuwa umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.

Zoezi...1
Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada  mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.

Zoezi....2
Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyumba kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu njinsi unavyokua.

Zoezi...3
Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na hule inanyue taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha mikono ilipokuwa (imenyooka huku na kule).

ZIJUE MBINU ZA KUBADILISHA MAISHA YAKO NA KUFANYA YAWE MAZURI NA YENYE MAFANIKIO


             Wanadamu wote tumeumbwa na kupewa akili ambayo inabidi tuitumie vizuri ili kuweza kuishi vyema katika ulimwengu huu. kinachoshangaza ni kwamba wapo watu wachache tu ambao wamekuwa wakitumia akili vizuri na kufanya vitu vikubwa vinavyo wapatia mafanikio makubwa, huku wengi wetu tukiwa tumebaki kusema kuwa wao wamebahatika.

Hakuna watu waliozaliwa na bahati au mikosi, wanadamu wote wanauwezo wakutumia akili vizuri na kujipatia kipato kikubwa sana. yapo mambo kadha wa kadha ambayo inabidi tuweze kuyafanya ili kuhakikisha kuwa tunasonga mbele na kuwa na maisha mazuri.

kwanza kabisa, lazima mtu uwe na nidhamu katika kila kitu ambacho unakifanya. nidhamu inachukua sehemu kubwa sana kuliko unavyoweza kufikiria. hakikisha unakuwa na ratiba inayoeleweka ambayo itakuwa inakuongoza katika shughuli zako za kila siku. hii itaongeza ufanisi, lakini pia nidhamu humfanya mtu aheshimike na kuoneka ana thamani katika jamii, kitu kinachoweza kufanya watu wakupatie kazi mbalimbali kwakuwa wanaamini hauta waaibisha.
Uwe mwaminifu katika maisha yako. uaminifu umekuwa adimu sana kwa watu wengi, jambo linalopelekea watu kukosa nafasi mbalimbali kwakuhofiwa kufanya ubadhilifu. ukiwa mwaminifu ni rahisi kupata fursa nyingi na kazi nzuri zenye maslahi mazuri. uaminifu ni silaha kubawa sana katika maisha.watu waliofanikiwa walikuwa waaminifu kwa sehemu kubwa, hawakuwa na tamaa ndogondogo zisizo nafaida. hakuna haja ya kuiba fedha kidogo ambazo zitachafua jina lako na kufanya heshima yako ipotee. kumbuka kuwa ni rahisi sana kupoteza heshima kuliko kuijenga.
Usiwe na matumizi yasiyo na msingi. watu wengi hawafanikiwi kwasababu wanatamani maisha ya wenzao, wanapenda waonekane wana maisha ya juu wakati sio kweli. hakuna haja ya kutafuta sifa mbele za watu wakati ukirudi kwako unaanza kujuta kwa matumizi uliyoyafanya. weka akiba kwa kile unachokipata, achana na starehe zisizo za msingi. unywaji wa pombe unafilisi sana na unakwamisha sana maendeleo ya watu wengi. ishi maisha yaliyo ndani ya uwezo wako, ukiwaza kupiga hatua na si kudumaa hapohapo ulipo.
Fanya kazi kwa bidii na kwa malengo ili uwe na maisha mazuri. uvivu wa kufikiri na wa kufanya kazi unakwamisha maendeleo. tazama watu wote waliofanikiwa wanafanya sana kazi kwa bidii. Mwenyezi Mungu alisema kuwa asiyefanya kazi na asile, usichague kazi ya kufanya ilimradi isiwe inavunja sheria. tuache ubishoo wakuona kuwa kuna kazi ambazo hazikustahili wakati huna kazi ya kufanya.
Kuwa mbunifu, lakini pia tumia kipaji chako kujipatia kipato. usijilinganishe maisha yako na yawatu wengine, usiangalie watu waliofanikiwa bali angalia watu walio chini yako. mshukuru Mungu kwa uhai na uzima ulio nao. Fanya kazi kwa bidii ukimtanguliza Mungu utafanikiwa tu.

FAHAMU NYOTA YAKO LEO IJUMAA TAREHE 4-10-2013

                  MIZANI - LIBRA (SEPT 24- OCT 23)
Siku ya leo shughuli zako za kijamii zitakuwa za kufurahisha na zitakupa njia mpya ya kuweza kukutana na watu wapya au mambo mapya, usijaribu kujiingiza katika ubishani hasa na wapinzani wako, leo ni siku ambayo unatakiwa uwe mtulivu katika shughuli zako na utaona mafanikio.

NGE - SCORPIO (OCT 24- NOV 22)
Ijumaa ya leo jaribu sana kuzidhibiti hisia zako na tumia hisia hizo kwa kukuletea mafanikio, leo ni siku ambayo utatambulika kwa kile utakachokifanya kwa jamii, usijaribu kulazimisha mambo unaweza ukapata matatizo.

MSHALE - SAGITARIUS ( NOV 23 - DES 21)
Leo kuwa makini unaweza kupewa ahadi ambazo hazitekelezeki au za uongo hasa katika sehemu yako ya kazi au biashara, utapata bahati katika masuala ya fedha, fanya mambo na watoto wako na jiepushe na hali ambayo itakufanya uonekane hufai katika jamii hasa kwa wale wanaokupenda au kukuamini.

MBUZI - CAPRICORN (DES 22 – JAN 20)
Leo panga mipango ya kutoka na familia yako kimatembezi, kitendo hicho kitakupa bahati na utajikuta ukipata mafanikio na maendeleo hasa katika mipango yako. Ni siku ambayo akiwa mkarimu utapata faida kubwa katika kila utakachofanya.

NDOO –AQUARIUS (JAN 21 – FEBR 19)
Leo usijaribu kufanya mambo ambayo unaona ni muhimu au kufanya mabadiliko katika mipango yako, kunaweza kukatoke mambo ambayo yasiyotabirika kwa upande wako na kuvuruga mipango yako, kuwa makini sana leo unaweza kupata matatizo madogo madogo au ajali ndogo ndogo.

SAMAKI – PISCES (FEB 20- MACH 20)
Siku ya leo unahitaji kujipa changa moto au kujiuliza kuhusu mipango yako , utapata bahati lakini usiitumie bahati hiyo vibaya jaribu kuondoa migongano yoyote iliyopo au itakayotokea katika mipangilio yako ya siku ya leo na mambo yako yatafunguka.

PUNDA- ARIES (MACH 21- APR 20)
Usipokuwa makini siku ya leo heshima yako inaweza kuvunjika, kuwa muangalifu kwa kila jambo utakalolifanya, safari kama unayo itakuwa nzuri, hata hivyo usiwe na khofu kuhusu biashara zako au mipango yako mambo yatafunguka na kuwa mazuri kwa msaada wa mtu mwingine .

NG’OMBE – TAURUS (APR21 – MAY 20)
Leo jishughulishe sana na masuala ya watoto na shirikiana sana na wale ambao wanawasaidia watu, tumia muda wako kutimiza malengo yako na kutekeleza majukumu ambayo yalikuwa hayajatelezwa, utapata pesa iwapo utajituma zaidi siku ya leo.

MAPACHA - GEMINI (MAY 21- JUN 21)
Leo uanatakiwa uwe mbunifu, jishirikishe na vikundi au makundi ambayo yanaweza kukufanya upate kitu, leo tegemea kukutana na wageni kutoka mbali wageni hao watakuletea faida kubwa na mambo yatakuwa mazuri kama utajishughulisha na shughuli za kijamii.

KAA - CANCER (JUN 22- JUL 22)
Usimkopeshe mtu yoyote pesa siku ya leo unaweza ukapoteza au ukadhulumiwa, masuala ya kifedha leo uwe makini nayo sana unaweza ukapata hasara ambayo hukuitegemea.

SIMBA - LEO (JUL 23 –AUG 22)
Jaribu sana kuwa na tabia nzuri leo hasa nyumbani kwako, jaribu kumridhisha mpenzi wako na bahati yako itakuwa kubwa na manufaa utayaona

MASHUKE - VIRGO (AUG 23- SEPT 23)
Tabia yako ya kukasirika kupita kiasi itakuletea matatizo, kuwa makini katika kila jambo , mazungumzo yako, mipango yako, na shughuli zako uzifanye kwa umakini mkubwa vinginevyo utakwama.

ANGALIA JINSI MITANDAO YA KIJAMII KAMA FACEBOOK INAVYOHARIBU WATU KISAIKOLOJIA


                 Facebook, mitandao mingine ya kijamii pamoja na huduma ya ‘blackberry mesenger’ maarufu kama BBM huathiri watu kisaikolojia, husababisha ndoa kuvunjika pamoja na usaliti katika uhusiano, wanasayansi wamebaini.
Utafiti huo uliofanywa mwaka 2012 na wanasayansi wa nchini Israel umebaini kuwa kwa wastani, wanawake wanatumia dakika 81 katika mitandao ya kijamii kwa siku ukilinganisha na wanaume ambao hutumia dakika 64, huku watu wasio na elimu wakionekana kuathirika zaidi na mitandao hiyo.
Watafiti hao kutoka Chuo Kikuu cha Tel Aviv walihusisha matukio kadhaa ya kisaikolojia kati ya watu walioathirika na mtandao na udanganyifu uliosababishwa na uhusiano unayoanzishwa kupitia mitandao ya kijamii.
Utafiti huo ulibaini kuwa wote waliohusishwa walikuwa na tatizo la upweke, ingawa hakuna aliyekuwa na historia ya matumizi ya dawa za kulevya au matatizo ya kisaikolojia.
Watu wenye upweke walionekana kupendelea kutafuta uhusiano kupitia mitandao, jambo linaloelezwa kusababisha kuwaumiza watu hao na kuhisi kusalitiwa.
Kiongozi wa utafiti huo Dk Uri Nitzan kutoka Chuo Kikuu cha Sackler mchepuo wa Tiba na Afya ya Akili, Shalvata Mental Health Care Centre alisema: “Kama ilivyo matumizi ya mtandao yanazidi kuwa makubwa. Vivyo hivyo inavyozidi kuhusiana na masuala ya saikolojia. Mawasiliano ya kompyuta kama Facebook na makundi ya mawasiliano yaliyopo ndani ni sehemu muhimu ya habari hii.”
Utafiti huo awali ulihusisha wagonjwa watatu ambapo Dk Nitzan anasema kuwa utafiti wao ulibaini kuwapo na mawasiliano kati ya saikolojia za wagonjwa hao na mawasiliano ya mitandao ikiwemo Facebook. Dk Nitzan anasema kuwa wagonjwa wote watatu waliachana na maisha ya upweke na kupata furaha baada ya kupata wapenzi wapya kupitia mitandao.
Anasema: “Ingawa uhusiano wau huwa na mtazamo chanya awali, lakini huishia kuwa na mawazo ya kuumizwa, kusalitiwa na uvamizi wa faragha. Watu hawa walibadilishana mawazo, ikiwamo upweke na mazingira magumu katika hasira au kutengana na watu waliowapenda awali, kutokana na teknolojia hawakuwa na historia ya kunyanyaswa,” anasema na kuongeza:
“Katika kila kesi, kulikuwa na uhusiano baina ya kuwapo na maendeleo ya taratibu na ongezeko la dalili za kuathirika kisaikolojia, pamoja na udanganyifu, wasiwasi, kuchanganyikiwa na matumizi yaliyozidi ya mawasiliano ya kompyuta.
”Dk Nitzan anasema kuwa tatizo kubwa la mitandao ni watu kuanzisha uhusiano kabla ya kuonana ana kwa ana, tatizo ambalo husababisha mtu kumwona mwenzake anamfaa, huku hali ikiwa ni tofauti pindi wawili hao wanapokutana. Aliongeza kuwa wataalamu wa afya ya akili lazima waache ushawishi wa matumizi ya mitandao ya kijamii wanapozungumza na wagonjwa.
“Unapowauliza watu kuhusu maisha yao ya kijamii ni busara zaidi kuwauliza juu ya matumizi ya Facebook na mitandao mingine ya kijamii, kama matumizi ya mitandao,”anasema.
Anaongeza: “Utafiti wetu unaonyesha, wakati teknolojia kama Facebook ikiwa na faida nyingi, baadhi ya watu wamekuwa wakiathirika na mitandao hii ya kijamii, huku ikiwavutia walio wapweke au walio katika mazingira magumu katika maisha yao ya kila siku, wakati wengine wakilazimisha tabia zisizo zao.”
Wataalamu Dar
Mwanasaikolojia na Mkurugenzi wa Kliniki ya NEHOTA inayotoa huduma ya ushauri iliyopo Makongo Juu jijini, Dk Bonaventura Mutayoba Balige anasema kuwa tatizo kubwa linalowafanya watumiaji wa mitandao ya kijamii kuathirika kisaikolojia ni uhusiano unayoanzishwa kupitia mitandao hiyo. Uhusiano unaoanzishwa katika mitandao ya kijamii hata ukiwa na matokeo chanya na kuanzisha ndoa, mara nyingi wanandoa hao huhisi kuumizwa au kusalitiwa muda wowote, jambo linalosababisha migogoro ya mara kwa mara.
“Unapokuwa na mume au mke mliyekutana Facebook, kisha akaendelea kutumia mtandao huo, bila shaka anapokuwa bize mtandaoni muda mwingi, mwenzake huanza kuathirika kisaikolojia kwani huanza kuumia kwa kuhisi kusalitiwa na mweza wake,” anasema mwanasaikolojia huyo.
Dk Balige anasema kuwa licha ya kuwepo watu wanaoathirika kwa kuwa mitandaoni muda wote, bado idadi ya watu wanaoanzisha uhusiano kwenye mitandao hiyo wakiwa kwenye hatari ya kuathirika zaidi, hasa kutokana na udanganyifu uliopo.
“Picha hazisemi kweli; wapo watu wakipiga picha haitoki kama alivyo. Hivyo mwanamke au mwanamume akianzisha uhusiano kwa kutegemea picha aliyoiona Facebook, bila shaka anaweza asitamani kuendelea na uhusiano huo atakapokutana na mtu husika ana kwa ana,” anasema Dr Balige.
Tafiti nyingine
Machi 8, 2011 wanasheria nchini Marekani walitoa ripoti yao kuwa mtandao wa Facebook ni chanzo cha migogoro katika uhusiano. Pia husababisha ndoa nyingi kuvunjika, hali inayosababisha kuongezeka kwa kesi za kudai talaka mahakamani.
Wanasheria hao walisema chanzo cha talaka nyingi ni mtandao wa Facebook ikiwamo ‘Blackberry messenger’ (BBM), huku ‘My Space’ ikichangia kwa asilimia 15 na Twitter kwa asilimia 5.
Mwanasaikolojia na mshauri wa ndoa kutoka Chuo Kikuu cha Tiba na Afya Loyola, Chicago Dk Steven Kimmons amewahi kusema: “Nimepokea kesi nyingi, mojawapo ni mwanamume aliyekutana na mwanamke aliyesoma naye kwenye mtandao wa Facebook na kuanza uhusiano, huku akiwa ameshaoa. Ni tatizo kubwa.”
Mikasa ya Facebook
Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Henry anasema kuwa aliwahi kufungua akaunti ya Facebook na barua pepe feki vyote vikiwa na jina la msichana. Aliombwa urafiki na wanaume wengi, ambao walimtongoza na baadaye aliamua kumkubali mmoja aliyemfahamu, akiwa pia mtu wake wa karibu bila mtu huyo kumgundua.
“Nilianza kuchati naye, alinipenda kupitia picha niliyoiweka kwenye ukurasa wangu. Alinitumia barua pepe pia, baada ya miezi miwili alihitaji kuniona niliamua kufunga akaunti hiyo baadaye,” anasema Henry aliyebainisha kuwa mwanaume huyo alikuwa ni mume wa mtu.
Rahel Simon (si jina lake halisi) anasema kuwa alikutana na mume wake mwaka 2009 kwenye mtandao wa Facebook. Walipendana na kwa kuwa wote waliishi jijini Dar es Salaam ilikuwa rahisi kuonana.
“Wakati huo mtandao ulikuwa hauna watu wengi kama ilivyo sasa. Tulijuana na kufunga ndoa, ila nina wasiwasi wa kusalitiwa, muda mwingi mume wangu anapokuwa akichati na marafiki zake kupitia mtandao huo. Yaani kuna wakati huwa najilaumu na kutamani kama tungekutana kanisani, huwa nahisi kama alivyokutana na mimi ipo siku ataisaliti ndoa,” anasema Rahel.
Mwingine aliyejitaja kwa jina moja la Janet anasema: “Sitaki kusikia uhusiano wa kwenye mtandao.
Nilikutana na wanaume kadhaa, nikajiingiza katika uhusiano nao, baada ya kunitumia waliniacha, sidhani kama kuna mwanamume aliye tayari na mwanamke anayekutana naye kwenye hii mitandao ni waharibifu tu,” anasema kwa jazba.
Mwathirika mwingine (Hamis) aliyekuwa akitafuta mchumba kupitia Facebook anasema kuwa alikutana na msichana mmoja kupitia mtandao huo baada ya kuona picha alizoweka binti huyo kwenye ukurasa wake, zikiwa na staili mbalimbali na kumpenda, akamtongoza na wakakubaliana kuonana. “Tulipanga kuonana Ukonga jijini Dar es Salaam. Wakati wote tuliwasiliana kupitia simu. Aliniambia angefika kwa usafiri wa daladala nilimsubiri kituoni.
Alipofika alinipigia simu, nilimuuliza umevaaje akaniambia nguo za kitenge. Nilitupa jicho ila nilipomwona sikuamini, nilizima simu kwa kuwa alikuwa mbali ili asijue kama ni mimi na kutokomea. Alikuwa ni tofauti na nilivyomwona Facebook alikuwa mbaya,” anasema Hamis.
Dondoo muhimu
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Gothenberg uligundua kwamba watu wenye kipato cha chini na wenye elimu ndogo wanatumia muda mwingi katika mtandao wa Facebook.
Katika kundi hili, wengi wanaotumia muda wao mwingi kwenye mitandao ya kijamii hawana furaha na wametawaliwa hali ya chini katika maisha yao.
Utafiti unaonyesha zaidi ya asilimia 85 ya watumiaji wa Facebook huingia katika mitandao hiyo kila siku. Asilimia 26 ya kundi hilo huona ni jambo la kawaida kwa wao kutoingia mara kwa mara.
Source: Mwananchi

UFAFANUZI JUU YA HALI YA TAHARUKI ANGANI KILIKUWA KITU CHA DUARA CHEUPE .

               When the comet vanished a couple of months ago, it had brightened very little if at all since the beginning of 2013. Astronomers had hoped that, while masked by the light of the sun, ISON would begin brightening at a more robust pace as it drew nearer to our star.
Unfortunately, that has not happened.



Hii taarifa ilitolewa na Astronomers saa 8zilizopita: Kwa mujibu wa report ya wataalamu wa anga,kuna kimondo/comet kikubwa kinairwa ISON kilitazamiwa kupita jirani na sayari yetu ya Dunia kati ya mwishoni mwa September na Mwanzoni mwa October. 

Kimondo hicho kinaelekea kwenye jua hivyo kitakua kinaungua na kuwa na mwanga mkali kadri muda unavyokwenda.

Kama uliona rangi nyeusi katikati,lile ni jiwe la chuma na ndio maana kati ni peusi bali pembeni linakoungua ndio kuna mwanga. 

Kitu cha kujiuliza na kushukuru Mungu wetu ni kwamba haya majabali hayagongi Dunia kwani mengine ukubwa wake unaweza funika bara la Africa lote!

ENDELEA KUSOMA KAMA KIMOMBO KINAPANDA!!!

Early on Monday (Aug. 12), Arizona amateur astronomer Bruce Gary became the first person to pick up Comet ISON since it disappeared in early June. By stacking images acquired by an 11-inch telescope pointing just 6 degrees above the eastern dawn horizon, he succeeded in recording a fuzzy patch of light with a short tail at the comet's predicted position among stars that are as faint as magnitude 16.

Measuring the image, Gary — a retired radio astronomer and atmospheric scientist — came up with a total magnitude of 14.3 ± 0.2. That is at least two magnitudes fainter than most predictions, and more than a thousand times fainter than the dimmest star that can be perceived with the unaided eye.


Gary’s observation does not bode well for ISON’s future performance, experts say.
“That the comet continues to appear as faint as it does implies that its intrinsic brightness (absolute magnitude) is low and that the nucleus is probably small and relatively inactive," said well-known comet observer John Bortle.

Bortle added that, in his opinion, "ISON has no chance of surviving its perihelion, based on my paper 'Post-Perihelion Survival of Comets with Small q' (International Comet Quarterly, Vol. 13, No. 3, July 1991)."

Of course, such forecasts are based on just one set of photographs. During the coming weeks, many other observations of ISON made by amateur and professional astronomers worldwide, as well as by orbiting satellites, will give us a much better assessment of ISON’s chances. 

In light of this, Bortle stresses that he is hedging his bets: "I wouldn't fully commit to such until I see some actual visual observations reported."

We here at SPACE.com will have another update on ISON when more of those observations become available at the end of this month, so stay tuned!

                                                            <<ANGALIA VIDEO HAPA>>

WANAUME NAO KUMEZA VIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO

            Ni dhahiri kwamba wanaume watashtuka, lakini huenda nao wakashiriki uzazi wa mpango bila upasuaji
Vidonge vya uzazi wa mpango vimezoeleka kutumiwa  zaidi na wanawake pekee, kiasi kwamba ni jambo la ajabu kusikia kuwa wanaume nao wanaweza kuvimeza.
Hata hivyo, watafiti mbalimbali wamefanikiwa kutengeneza vidonge vya uzazi  ambavyo vinazifanya mbegu za kiume  katika mfuko wa uzazi wa mwanamume zisiwe na nguvu ya kuweza kutungisha mimba. Utafiti wa dawa hiyo ambao umewaumiza kichwa wanasayansi kwa miaka mingi umewezesha kupatikana kwa vidonge hivyo ambavyo havina vichocheo kama vile wanavyotumia wanawake ambavyo huingia katika mfuko wa mbegu za uzazi na kisha kuzidhoofisha.
Matokeo ya utafiti huo  ambayo yalichapishwa Agosti mwaka huu yanaonyesha kuwa vidonge hivyo vya uzazi kwa wanaume vitazuia kutunga mimba bila ya kuathiri uwezo wa mwanamume kushiriki tendo la ndoa kama kawaida.
Dk James Brander wa Taasisi ya Dana-Farberanasema utengenezaji wa  vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume  umekuwa na changamoto kubwa kutokana na  upatikanaji wa dawa ambazo zinaweza kuzuia  mfumo wa utengenezwaji wa  seli za mbegu za kiume.
Dawa hizo ziitwazo JQI zilizotengenezwa katika maabara ya Bradner zinafanya kazi kwa kulenga protini maalumu zilizoko katika korodani  ambazo ni muhimu katika uzazi.
Vidonge hivyo vilichanganywa na vichocheo vya ‘Desogetrel’ ambazo huzuia uzalishwaji wa mbegu za kiume.
Profesa Malise Kaisi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Shirikishi Muhimbili (Muhas) ambaye ni Mtanzania wa kwanza kuzalisha watoto kwa njia ya upandikizaji (IVF) anasema ana wasiwasi mkubwa kuhusu dawa hizo kutumiwa kwa wanaume.
“Dawa za uzazi wa mpango ni rahisi kutumiwa na  wanawake kwa sababu wanawake wana mfumo mwepesi kwa dawa kufanya kazi na kuzuia utungishwaji wa mimba,” anasema.
Hata hivyo, Profesa Kaisi anahisi  kwa wanaume itakuwa hatari kwao kutumia dawa hizo kwani kunaweza kusababisha hata kuua kabisa uzalishwaji wa mbegu.
“Wanaume wana maumbile tofauti na mwanamke. Korodani za mwanaume ni kama kiwanda kinachofanya kazi usiku na mchana. Kwa siku moja mwanamume anazalisha mbegu milioni 10,” anafafanua Prof.  Kaisi.
Katika kuzifanyia utafiti, panya dume alipewa dawa hizo, kisha akawekwa pamoja na mwenza wake ambapo  licha ya kujamiiana hata baada ya miezi kadhaa  panya jike hakupata mimba
 Utafiti huo ulibaini kuwa pamoja na kuzuia uzalishwaji wa mbegu, vilevile dawa hizo zilionekana kuwa hazina madhara yeyote kwa kuwa hazina mchanganyiko wa vichocheo vya aina yoyote.
“Hazikuwa na madhara ya vichochezi (hormone). Mwanamume atakayezitumia hatabadilika tabia au mwili kupata mabadiliko yeyote yale” anasema Dk Martin Matzuk, mtafiti mwingine wa dawa hizo.
Dk Matzuk anasema hakuna kinga yeyote nyepesi ya uzazi wa mpango kwa wanaume iliyowahi kugunduliwa tangu kugunduliwa kwa mipira ya kiume miongo kadhaa iliyopita.
Inaelezwa kuwa utafiti huo  ni mkubwa na utakaoleta mapinduzi katika uzazi wa mpango baada ya vidonge vya uzazi kwa wanawake kuonekana na upungufu kadhaa.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake, Cyriel Massawe wa Chuo  Kikuu cha Sayansi ya Tiba Shirikishi Muhimbili , anasema iwapo kweli dawa za uzazi wa mpango zitagunduliwa basizitasaidia wanandoa kujadili namna bora zaidi ya kupanga uzazi.
“Wenza wanapokuwa na uchaguzi wa kutosha wa namna ya kupanga uzazi inawasaidia wote wawili. Kwa mfano kama mama ana matatizo kadhaa, basi baba atachukua jukumu la kutumia vidonge ili kupanga uzazi,” anasema Dk Massawe.
Anasema kwa sasa wanaume wana njia moja tu ya kupanga uzazi ambayo ni mipira ya kiume hivyo basi iwapo njia nyingine zaidi zimepatikana basi itasaidia.
Dk Massawe anasema vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume  bado vina changamoto kwa sababu ya mfumo wa uzazi wa mwanamume.
“Zile dawa zinatakiwa zikazuie uzalishwaji wa mbegu kwa wanaume kwa hiyo ili kuingilia mfumo wa uzalishwaji na  pindi mwanamume atakapoacha kutumia awe kama kawaida…ni changamoto” anasema.
Hata hivyo, Dk Massawe anasisitiza kuhusu ushirikiano wa wenza katika kupanga uzazi na kusema kuwa, ni suala linalohitaji watu wawili kujadiliana ili kujua ni njia ipi na salama ya uzazi wa mpango.
 Anaongeza kuwa wenza wanapopanga uzazi itawasaidia kuimarisha afya zao, za watoto na hata kupunguza mzigo wa majukumu ambayo hayakutarajiwa.
Utafiti mwingine unaofanana na huu ulifanywa mwaka 2010 ambapo wanasayansi waliwauliza wanawake na wanaume iwapo wanaume wanaweza kutumia dawa za uzazi wa mpango  pindi zitakaposhauriwa na 
 Katika utafiti huo ulioongozwa na Dk JudithEberhardt wa Chuo Kikuu cha Masuala ya Jamii,wanaume, 140 na wanawake 240 waliulizwa kuhusu matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume.
 Hata hivyo matokeo ya utafiti yalionyesha kuwa ingawa wanaume wote walisema watafurahi kutumia vidonge hivyo lakini wanawake walipata hofu iwapo wenza wao watakubali kutumia vidonge hivyo au kuvitumia inavyotakiwa ili kuimarisha uzazi wa mpango.
 Katika utafiti huo, wanaume walio kwenye mahusiano ya kudumu walitoa maoni ya kuvikubali vidonge hivyo huku wale walio katika mahusiano ya muda mfupi waliikosoa njia hiyo ya uzazi wa mpango.
Mei 2009, wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Tiba cha Manchester, Uingereza walitumia wanawake na wanaume kuzifanyia utafiti njia za uzazi wa mpango kwa wanaume kujua iwapo zinafanya kazi ipasavyo na zina manufaa.
 Watafiti hao waliwaambia wenza walioshiriki katika utafiti huo kuwa wanaume pekee watumie njia za uzazi wa mpango huku wanawake wakiambiwa kutotumia njia yeyote ili kupima iwapo njia za uzazi wa mpango zinafanya kazi kwa ubora au la.
Hata hivyo, wanaume kadhaa  nchini walioulizwa  iwapo watakubali kutumia njia yeyote ya uzazi wa mpango ikiwemo vidonge na wanaume wanane kati ya kumi, walikataa kutumia njia yeyote ile.
 Mmoja wao,     Edwin Mnzeru anasema, yeye na mke wake hawawezi kutumia njia ya uzazi wa mpango  ya vidonge, mipira ya kiume, wala ya kitanzi   kwa sababu  zina madhara kiafya na ni kinyume na dini.
chanzo:mwananchi

WANASAYANSI WADAI MWISHO WA DUNIA UTAFIKA BAADA YA MIAKA BILIONI 3.5 AMBAPO JUA LITAKUWA KALI SANAA



             Mwisho wa dunia kwa mujibu wa wanasayansi bado sana. Maisha duniani yataendelea kuwepo kwa miaka bilioni 3.5 mingine.

Baada ya hapo wanasayansi wanaamini jua litakuwa kali kiasi ambacho hakuna kiumbe kitakachoweza kuishi. Tangu iwepo, sayari ya dunia imekuwa kwenye umbali sahihi kutoka kwenye jua kiasi cha kuifanya iwe  na maisha.

Wanasema tatizo ni kwamba nyota zimeendelea kuchemka kadri muda unavyoenda na zikiendelea kutoa joto zaidi, maji ya dunia yataendelea kukauka na kupote kabisa. 

Utabiri huo umetoka kwa wataalam wa chuo kikuu cha East Anglia ambapo mtafiti mmoja wapo, Andrew Rushby amesema baada ya miaka hiyo dunia itakuwe na joto kali kiasi ambapo hata bahari zitageuka kuwa mvuke.
 
Alisema binadamu watakuwa viumbe wa kwanza kupotea.

Source: Daily Mail via Bongo5

UTAFITI:SIMU ZA KUPAPASA(SMART PHONE)ZINA UCHAFU MWINGI KULIKO CHOO


Simu  ya  kupapasa.
 Watafiti wamebaini kuwa baadhi ya vifaa vya kisasa vya mawasiliano vinavyotumika kwa kupapasa kama tablet komputa na smart-phones huwa na vijidudu vingi vya uchafu kuliko hata choo.



Bakteria hao huachwa na watumiaji wavifaa hivyo kwa kupapasa vioo vya vifaa kama Apple iPads na Samsung Galaxy tablets kutokana na kutumia bila ya kuosha mikono.
Choo


Moja ya tablet iliyofanyiwa vipimo na taasisi ya kulinda mtumiaji ya Which? ilikutwa na baktaria aina ya staphylococcus aureus ambao hutoa sumu ambayo hupelekea mtu kutapika.
USHAURI:
Kuwa  na  smart phones  ni  sawa  na  kutembea  na  choo  mkononi (  kwa  mujibu  wa  utafiti  huu) ...Tuwe  waangalifu ili  simu  hizi  zisiguswe  na  watoto  wetu.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari