Like Us On Facebook
Showing posts with label USHOGA. Show all posts
Showing posts with label USHOGA. Show all posts

MUSWAADA WA KUPINGA USHOGA KUSAINIWA UGANDA.

ug_e861f.jpg
 
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema atasaini muswaada tata unaopinga ushoga na kuwa sheria kamili.
 
Hatua hiyo inaelezwa kuwa ni onyo kwa wanaotetea vitendo vya mahusiano ya jinsia moja kuwa watashughulikiwa vikali nchini humo.
 
Mwezi uliopita kiongozi huyo alipanga kuachana na muswaada huo ambao umekuwa ukikosolewa vikali na wahisani kutoka mataifa ya Magharibi na wanaharakati wa haki za binaadamu tangu ulipowasilishwa mwaka 2009. Mapenzi ya jinsia moja ni mwiko katika mataifa ya Afrika na kinyume cha sheria kwa mataifa 37.
 
Wasiwasi wa mashoga wa Afrika
Wanaharakati wa haki za binaadamu wanasema Waafrika wachache waliojitangaza kuwa mashoga, wanahofu ya kufungwa, kukabiliwa na vurugu na kupoteza ajira zao.

Wakati wa mkutano wake na chama tawala nchini Uganda NRM kundi la wanasayasi liliwasilisha utafiti wao kuhusu mapenzi ya jinsia moja kwa rais Museveni. Msemaji wa mkutano huo, wa NRA Anite Evelyn katika taarifa yake alisema kuwa "Museveni alitangaza atasaini muswaada huo kwa vile swali lile la iwapo mtu anaweza kuzaliwa shoga au hapana limejibiwa".
 
Uchunguzi wa mawaziri
Katika taarifa yake kamati ya mawaziri iliyokuwa ikilifanyia uchunguzi suala hilo ilisema Ijumaa (14.02.2014) hakuna vinasaba vya mapenzi ya jinsia moja na kwa hivyo si ugonjwa lakini ni tabia isiyo ya kawaida ambapo mtu anaweza kujifunza tu kwa kupitia uzoefu katika maisha.
 
Katika mkutano na chama tawala cha NRM, Mshauri wa Rais katika masuala ya Kisayansi, Dokta Richard Tushemereirwe alimwambia kwamba "mapenzi ya jinsia moja yana athari kubwa kwa afya za watu kwa hivyo si jambo la kuachwa liendelee hata kidogo".
 
Muswaada wa kupinga uhusiano wa jinsia moja uliwasilishwa bungeni mwaka 2009, ambapo awali ulikuwa ukipendekeza adhabu ya kifo kwa wanaoshiriki vitendo vya ngono kwa watu wa jinisia moja, lakini ukafanyiwa marekebisho kwa kuweka adhabu ya vifungo vya awamu gerezani na maisha kwa kile kilichotajwa kuwa mapenzi ya jinsia moja ya kuchochewa.
 
Rais Museveni alisisitiza kuwa , wahamasishaji, wanaojionesha na wote wanaoshiriki vitendo vya ngono kwa watu wa jinsia moja kwa sababu za ukaidi wa kutumwa , hawatavumiliwa na watakabiliwa vikali.
Chanzo, dw.de/swahili

UJUE UKWELI KUHUSU SKENDO YA IRENE UWOYA KUSAGANA NA MARIAM ISMAIL, SOMA HAPA!



Mariam Ismail
Mastaa wa filamu nchini Mariam Ismail na Irene Uwoya wanadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi(usagaji) na kudaiwa kuishi pamoja kabisa.


wiki kadhaa nyuma muigizaji mmoja chipukizi anayekuja juu kwa kasi aliutonya mtandao huu kwa kusema " Mariam Ismail na Uwoya wanasagana tena wanaishi pamoja kabisa, fuatilieni mtajua". Baada ya habari hizo ilibidi Swahiliworldplanet kuwatafuta mastaa hao, wa kwanza kutafutwa akiwa Irene Uwoya lakini namba yake ya simu kwa takribani wiki 2 ilikuwa haipatikani na hata jana alipotumiwa ujumbe kupitia namba yake nyingine hakujibu.

Baada ya hapo ilibidi kumtafuta Mariam Ismail ambaye wamecheza filamu nyingi na Irene Uwoya kama vile Sobbing Sound, Omega Confusion, The Return Of Omega na Apple, Hata hivyo Mariam anafanya vizuri katika filamu alionekana kuwa busy na kuchelewa kujibu ujumbe wa madai ya kusagana na Uwoya lakini jana star huyo aliyejipatia umaarufu kwa kuuvaa vizuri uhusika katika filamu zake alitoa ushirikiano mzuri kwa kujibu madai hayo akidai sio kweli ila yeye na Uwoya ni marafiki wa karibu sana na wanasaidiana katika shida na raha ndiyo maana baadhi ya watu wameshaanza kusema vibaya...

"Nadhani mimi ndio mtu wa kwanza kupiga vita upumbavu kama huo... mimi ni mwanamke ambae nimeumbwa kikamilifu.. sina kasoro yoyote ya kunifanya niwe na mwanamke mwenzangu....hao wanaofanya upumbavu huo nadhani wana vijikasoro kwenye mili yao.... Irene Uwoya ni rafiki yangu sana tena urafiki wetu sio wa leo wala kesho... ni marafiki wa kushibana kabisa... nikoseapo huwa ananikosoa na yeye akoseapo huwa namkosoa....sometimes huwa tunagombana na kupatana vitu ambavyo ni vya kawaida katika maisha." alisema Mariam ambaye hajawahi kukumbwa na skendo yoyote ile kabla.

Mariam ambaye kipaji chake cha filamu hujionyesha waziwazi alimalizia kwa kusema "Irene ananiheshimu sana na mimi humuheshimu sana Irene, imefikia hatua ya mimi na yeye tukakaa chini na kupanga tuishi wote kitu ambacho sioni tatizo na hilo. Ingekua ni chumba kimoja hapo sawa... lakini ni nyumba kubwa yenye kujitosheleza...kila mtu na room yake...tunaishi kwa amani na kwa kushirikiana penye tatizo hulitatua wenyewe bila kumshirikisha mtu. Ukimya wetu na kupatana kwetu kusiwafanye watu kuanza kuhisi upumbavu juu yetu... natumai ujumbe wangu utawafikia mashabiki wangu wote. Asante. In god I trust."



Irene Uwoya

HII NI LAANA KUBWA:HII NI LAANA NA DHAMBI ILIOVUNJA RECORD 2008, SOMA HAPA MWANAMKE MAARUFU ELLEN NA PORTIO DE ROSSI JINSI WALIVYOFUNGA NDOA YA JINSIA MOJA HAPA..

kwa jina alilopewa na wazazi wake anaitwa Ellen DeGeneres, alizaliwa  january  26 1958 huko america.mwanamke huyu alibarikiwa kuwa mchekeshaji, vile vile mwendesha vipind vya televishen  na uigizaji pia. alianza kuwika sana katika kipindi chake kilicho julikana kwa jina la Ellen show hapo ndipo ulimwengu ukaweza kumtambua vilivyo.

tukiachana na bla bla zote mwanadada huyo alianza kuishangaza dunia kwa tabia ya kishetani aliyo ibuka nayo na kujiexpose officially kwa umma mnamo mwaka 1997 kuwa yeye ni MSAGAJI, (LESBIAN), Ambapo inasemekana tabia hiyo alianza zamani sana akiwa anasagana na marafiki zake...kabla ya mwaka 2008 yasemekana mwanamke huyu kumbe alikuwa katika mahusiano haya ya jinsia moja na mwanadada anaejulikana  kama Portia de Rossi, amini ukatae mchumba wake huyu ni mwanadada aliye kuwa na elimu ya degree ya sheria lakin potelea pote elimu hiyo haikumsaidia naye akazama katika uchafu huo wa usagaji na mwana dada Ellen ambae kiumri Ellen anamzid mchumba wake Portia de Rossi miaka zaidi ya kumi na 18; ilipofika miaka ya 2004 uvumi wa ndoa ya jinsia moja ukaanza kati yao na hatimaye  ilipofika August 16, 2008 ndoa ya jinsia moja ilifungwa na ndiyo ilikuwa ndoa ya kwanza ya wasagaji kwa mwaka huo 2008.
                      dondoo siku ya ndoa haramu
ndoa ilifanyika siku ya juma mosi na ndipo walipiga viapo vyao na kukubaliana kuwa wao ni mwili moja, na ilikuwa ni usiku ambao wawili hao wali haramishwa kuwa wanandoa wa kusagana, ikiwa  DeGeneres alikuwa na umri wa miaka 50, na de Rossi, 35, wote walivaa Zac Posen - Ellen pantsuitnyeupe na Portia inapita mwanga pink kanzu na stunning porojo neckline - na kubadilishana pete na Neil Lane wakati wa sherehe.
Siku yao kubwa pia featured mipango na LA florist Mark ya Garden.Sherehe ndogo ulihudhuriwa na wageni 19 , ikiwa ni pamoja na DeGeneres ' mama, Betty, na mama de Rossi ya , Margaret Rogers , ambaye akaruka kutoka Australia kwa ajili ya tukio .DeGeneres na de Rossi vinavyotokana kwa picha na mama Ellen na mbwa wao wawili, shahidi aliiambia Usmagazine.com . " Alasiri nzima walionekana wenye furaha sana ," shahidi alisema. lakini ikumbukwe ndoa hizo kwa mwaka ule ilikuwa utata sana kwani ilikuwa ni kinyume na katiba....ila shetani aliwafanikishia wawili hawa, na mpka sasa wanaishi kama wanandoa halali
 
ellen akiwa katika pose 
tazama baadhi ya picha za wanaharamu hawa wakiwa katika mapose mnato 
 
 

NOMA SANA:SHOGA ANASWA AKIJIUZA USIKU WA MANAE HUKO MORO...TAZAMA PICHA ZA MATUKIO HAPA..


AMA kweli dunia imefika ukingoni! Ile Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, bado ipo kazini ikishirikiana na polisi ambapo safari hii imeibuka na kigongo cha aina yake baada ya kumnasa ‘mwanaume tata’ akijihusisha na ukahaba, Risasi Mchanganyiko lina mzigo kamili.
Mwanaume tata baada ya kunaswa na OFM akijihusisha na ukahaba.
Ikiwa kwenye fumuafumua ya magenge ya ngono maeneo ya Kahumba mjini Morogoro hivi karibuni, OFM kwa mwaliko wa jeshi la polisi, ilipigwa na butwaa baada ya kukutana uso kwa uso na mwanaume huyo aliyekuwa amejumuika katikati ya kundi la madadapoa naye akifanya kama wao.
Mbali na jamaa huyo ambaye jina lake halikupatikana, baadaye ilibainika kuwa kulikuwa na wenzake wawili ambao ilikuwa vigumu kuwatambua kufuatia kujiremba kupita hata wanawake wenyewe.
 
...Akiwa mikononi mwa polisi akipelekwa kwenye difenda.
Kuna madai kwamba kijana huyo aliyekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 20 - 24 ni mtoto wa kigogo serikalini na amekuwa akijichanganya na madadapoa hao kwa muda mrefu.
Mara baada ya kunaswa, kijana huyo aliangua kilio huku akidai kuumbuka kwani familia yake wakiiona picha yake hawatamwelewa.
“Naombeni tumalizane hapahapa kwani nyumbani hawafahamu kuwa nipo hapa muda huu. Hii ni kesi kubwa kwangu nisaidieni,” alisikika kijana huyo.
...Akiwa ndani ya difenda na wenzake walionaswa katika tukio hilo la kufanya ukahaba.
Hata hivyo, pamoja na kilio hicho, polisi hawakumwelewa, alibebwa juujuu na kuingizwa katika karandinga kisha kutupwa nyuma ya nondo za mahabusu kusubiri sheria kuchukua mkondo wake.
Wakazi wa maeneo hayo walikuwa wakilalamika mara kwa mara kutokana na kurundikana kwa makahaba mahali hapo na kusababisha uchafuzi wa mazingira kwa kutupa ovyo mipira ya kiume (kondom).
Katika msako huo, wanaume hao watatu walijumuishwa na wanawake 20 waliokamatwa wakijihusisha na biashara haramu ya kuuza miili.

NGONO,USAGAJI WASHAMIRI KATIKA SHULE MOJA YA SEKONDARI HUKO PWANI

 

Shule moja ya sekondari ya wasichana iliyopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, imelalamikiwa na wanafunzi pamoja na wazazi kuwa mabinti wanajihusisha na vitendo vya ngono vya jinsia moja (usagaji).

Akizungumza na NIPASHE mmoja wa wazazi (jina linahifadhiwa) alisema shule hiyo imepoteza sifa kwa kuwa kuna wimbi kubwa la wanafunzi wanaojihusisha na vitendo hivyo vya usagaji.

Alisema mtoto wake alikuwa ameanza kidato cha kwanza mwaka jana na baada ya kumuandikisha ndipo baadhi ya watu walipomueleza kuwa shule hiyo kwa sasa ina sifa mbaya ya mchezo ‘huo mchafu.’

"Baada ya kuelezwa nikasema nitalifanyia kazi jambo hilo hivi karibuni katika kupekua madaftari ya mwanangu nakutana na kibarua cha mapenzi alichoandikiwa na msichana mwenzake niliumia sana na nilitumia nguvu kumbana bila hivyo asingeniambia," alisema

Alisema ilimbidi amhamishe binti yake na kujiunga na shule moja ya sekondari iliyopo mkoani Tanga kwa ajili ya kuendelea na masomo ya kidato cha pili mwaka huu.

Mzazi huyo alisema anashangazwa ni kwa nini hatua hazichukuliwi wakati suala hilo ni la hatari kwani watoto wao wataharibika kiakili pamoja na kimwili na wanaweza kuambukizana VVU na Ukimwi..

Alisema wakati mwanaye akisoma katika shule hiyo alikuwa akihudhuria vikao vya wazazi mara kwa mara na kwamba kila kikao walikuwa wakifukuzwa wanafunzi kutokana na mwenendo huo.

"Hili tatizo ni kubwa na kufukuzwa kwa mwanafunzi sidhani kuwa wanatatua tatizo nadhani hakuna usimamizi mzuri kwani wangeweza kudhibiti kwa haraka tatizo hilo kabla ya kuwa kubwa," alisema

Pia alisema ndugu yake imembidi amhamishe mwanae na kumtafutia shule nyingine kwa kuhofia binti yake kurubuniwa kwani wanakuwa ni wadogo na hawaelewi chochote, hivyo inaweza kuwa rahisi kudanganywa na kuingia kwenye vitendo hivyo viovu.

Alisema kuwa hata kiwango cha ufaulu kwa sasa shule hiyo imeshuka kutokana na tatizo hilo kwa wanafunzi .

Hata hivyo, NIPASHE ilizungumza na mwanafunzi mmoja ambaye anasoma katika shule hiyo kuhusiana na suala hilo ambapo alikiri kuwepo kwa jambo hilo na kueleza kuwa wanaofanya mchezo huo ni wa kidato cha tano na cha sita.

"Mimi hawajanifanyia ila najua wanaofanya mchezo huo ni wale walioko kidato cha tano na cha sita," alisema Pia kuna baadhi ya wazazi wengine wamekuwa wakilalamikia jambo hilo na kueleza kuwa ndugu zao imewalazimu kuwahamisha watoto wao kutokana na vitendo hivyo vinavyofanyika shuleni hapo

LAANA:WASICHANA, KWANINI MJIDHALILISHE HIVI WAKATI MIDUME IMEJAA KILA KONA...??

Mi binafsi nakerwa sana ninapoona wanawake wanajiridhisha wenyewe kwa wenyewe kimapenzi wakati wanaume wengi wapo wakiwalilia kila leo!
 
Hivi inakuwaje unalala kitanda kimoja na mwanamke mwenzio huku mkisuguana sehemu zenu pendwa tena kwa hisia kali????

Mi binafsi huwa inaboa sana hii tabia ya madem kusagana ka mashine za unga!! tafuteni wanaume wawasugue mridhike!!

Zaeni sasa ninyi kwa ninyi kama mnaona ni sifa kufanya usagaji!! aaggh inaboa!


KASHFA YA KUSAGANA KATI YA IRENE UWOYA NA MARIAM ,SOMA ZAIDI

Mariam Ismail
Mastaa wa filamu nchini Mariam Ismail na Irene Uwoya wanadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi(usagaji) na kudaiwa kuishi pamoja kabisa. wiki kadhaa nyuma muigizaji mmoja chipukizi anayekuja juu kwa kasi aliutonya mtandao huu kwa kusema " Mariam Ismail na Uwoya wanasagana tena wanaishi pamoja kabisa, fuatilieni mtajua".

Baada ya habari hizo ilibidi Swahiliworldplanet kuwatafuta mastaa hao, wa kwanza kutafutwa akiwa Irene Uwoya lakini namba yake ya simu kwa takribani wiki 2 ilikuwa haipatikani na hata jana alipotumiwa ujumbe kupitia namba yake nyingine hakujibu.

Baada ya hapo ilibidi kumtafuta Mariam Ismail ambaye wamecheza filamu nyingi na Irene Uwoya kama vile Sobbing Sound, Omega Confusion, The Return Of Omega na Apple, Hata hivyo Mariam anafanya vizuri katika filamu alionekana kuwa busy na kuchelewa kujibu ujumbe wa madai ya kusagana na Uwoya lakini jana star huyo aliyejipatia umaarufu kwa kuuvaa vizuri uhusika katika filamu zake alitoa ushirikiano mzuri kwa kujibu madai hayo akidai sio kweli ila yeye na Uwoya ni marafiki wa karibu sana na wanasaidiana katika shida na raha ndiyo maana baadhi ya watu wameshaanza kusema vibaya...

"Nadhani mimi ndio mtu wa kwanza kupiga vita upumbavu kama huo... mimi ni mwanamke ambae nimeumbwa kikamilifu.. sina kasoro yoyote ya kunifanya niwe na mwanamke mwenzangu....hao wanaofanya upumbavu huo nadhani wana vijikasoro kwenye mili yao.... Irene Uwoya ni rafiki yangu sana tena urafiki wetu sio wa leo wala kesho... ni marafiki wa kushibana kabisa... nikoseapo huwa ananikosoa na yeye akoseapo huwa namkosoa....sometimes huwa tunagombana na kupatana vitu ambavyo ni vya kawaida katika maisha." alisema Mariam ambaye hajawahi kukumbwa na skendo yoyote ile kabla.
 

Irene Uwoya
Mariam ambaye kipaji chake cha filamu hujionyesha waziwazi alimalizia kwa kusema "Irene ananiheshimu sana na mimi humuheshimu sana Irene, imefikia hatua ya mimi na yeye tukakaa chini na kupanga tuishi wote kitu ambacho sioni tatizo na hilo. Ingekua ni chumba kimoja hapo sawa... lakini ni nyumba kubwa yenye kujitosheleza...kila mtu na room yake...tunaishi kwa amani na kwa kushirikiana penye tatizo hulitatua wenyewe bila kumshirikisha mtu.Ukimya wetu na kupatana kwetu kusiwafanye watu kuanza kuhisi upumbavu juu yetu... natumai ujumbe wangu utawafikia mashabiki wangu wote. Asante. In god I trust."

LAANA:ANGALIA VIDEO BIASHARAYA "NGONO" INAVYOFANYIKA NYAKATI ZA USIKU...!IWANAHARAKATI WATAKA IRUHUSIWE IONGEZE UCHUMI

Hii ni makala inayoonyesha jinsi biashara ya ngono
(uchangudoa) unavyofanyika haswa nyakati za usiku.Makala hii inakutanisha wafanyabiashara hiyo almaharufu kama "MACHANGUDOA" wakieleza jinsi wanavyofanya biashara hiyo 
 na changamoto wanazozipata.


Usisite kuangalia ili uweze kujifunza.ANGALIA VIDEO HAPA


Angalia kisa cha mama kumfundisha mwanae biashara ya ukahaba..

HUYU NDO MREMBO ALIYEJITANGAZA BILA AIBU KUWA ANATAMANI KUWA MSAGAJI,LAANA HII!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhU3Q-4MGKmpEwQjvSpbfwKnasPjSnU_WbdIvyboCOH9dM9OfSGE0AaRpAP18RufAT2F1tct3Kpzt6HrZlzh2faZ8P-F6WTjv9StMOjsB02Xc6Nzf576xKmASRkYoycBE6E4qlDzYFKUMkj/s1600/marya-moustapha.jpg
If Marya were a bird she's be a phoenix. She is certainly as beautiful as the mythical bird and of late has been just as elusive. No interviews not a peep. but she finally came out to receive an interview from Cate Mukei.

When that happened, It was an interview that revealed something interesting. The songstress allegedly admited to having to fight off temptations to begin batting for the home team.
During her conversation with Cate, she made the following remark:
“I’m tired of men who can’t be in a serious relationship. Most of them just want to hit and run. I’m even tempted to become a lesbian. The grass is probably greener on the other side."
UIhh... huh... It seems uncle Chinedu might just have been right afterall!

AIBU:KWA STAILI HII KWELI KUSAGANA KWA WASICHANA KUTAISHAA.?






Yani ni katika Bonge la patiiiiiiiii...

TAZAMA VIDEO NA PICHA ZA AJABU JINSI UKEREWE, MWANZA WALIVYOKUWA WANAKARIBISHA NDOA ZA JINSIA MOJA.,NI LAANA TUPU

Hiki ndio kilichotokea mkoani Mwanza katika visiwa vya ukerewe ambapo walikuwa wakifungisha ndoa ya jinsia moja kama inavyooneshwa katika video hapo chini.Tanzania inaenda wapi jaman....
<<BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA NA VIDEO HIYO>>

SHOGA AWEKA HISTORIA BONGO!!! NI ANTI ASU,SASA AAMUA KUOA,MCHEKI HAPA AKIWA NA MPENZI WAKE ALIYEMUOA

KATIKA tukio linalochukuliwa kama ni la kihistoria kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni, shoga wa Jijini Dar es Salaam, Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu, aliyeokoka Agosti mwaka jana, ametangaza nia ya kutaka kuoa katika Kanisa la TAG, Magomeni wiki iliyopita.


Anti Asu enzi hizo akiwa shoga katika pozi....


 

Amosi alimvalisha pete ya uchumba, Astrida Samatha baada ya kukamilisha taratibu zote za mila  na desturi za ukweni na hatimaye kupewa ruksa ya kumuoa.

Mara baada ya misa ya pili kumalizika katika kanisa hilo, Amos alimvisha pete mchumba wake huyo na kusababisha nderemo na vifijo kutoka kwa waumini wa kanisa hilo, ambao waliahidi kuchangia baadhi ya gharama wakati wa harusi yao.


 Anti Asu enzi hizo baada ya kuokoka kanisani...

Akizungumzia suala hilo, Amosi ambaye ni maarufu sana jijini Dar es Salaam enzi zake akijishughulisha na mapenzi ya jinsia moja, alisema:

"Siamini na wala sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuwa na familia yangu, namshukuru sana baba mchungaji, kwani nina imani hata hao wanaoendelea na ushoga ipo siku watarejea kwa Bwana."



Anti Asu akimvisha pete mchumba'ke hivi karibuni kanisani


Amos alisema alijikuta akitamani kuwa na mwanamke baada ya kuokoka lakini hakuwa na mawazo hayo kipindi alipokuwa shoga.

 
Anti Asu baada ya kufunga ndoa kanisani wakiwa katika pozi yeye na mchumba'ke

Astrida, mwanamke aliye tayari kuolewa na Amos, alisema Mungu ameagiza upendo wa dhati ukiwemo ule wa roho, hasa kwa watu kama hawa na siyo vizuri kuwatenga.

"Tumeagizwa upendo ule wa roho, mimi naona ni sawa kwa kuwa na yeye ni mtu kama mimi na anahitaji upendo wa dhati na ninaahidi kumpenda," alisema Astrida.

MCHUNGAJI ANENA
 
Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo, Dustan Kanamba, alisema Agosti, mwaka jana, Amos aliamua kuachana rasmi na ushoga na kuokoka, ndipo yeye na mke wake, walipoamua kumchukua na kuwa sehemu ya familia.

"Mimi na mke wangu tulishauriana na kumchukua ili awe mmoja kati ya familia yetu, japo kabla ya kuokoka alikuwa hajisikii kuwa na mwanamke lakini hali ilibadilika pale alipookoka na kujiona anahitaji kuwa na mwanamke kwani kwa kipindi cha miaka 29, Amos hakuwahi kumjua mwanamke," alisema mchungaji.

WAUMINI WAMPONGEZA

Baadhi ya waumini wa kanisa hilo wamempongeza Amos kwa hatua aliyofikia na kuahidi kumpa sapoti katika ndoa yake inayotarajiwa kufungwa hivi karibuni, huku wakitaja baadhi ya vitu watakavyomuwezesha kama kumshonea suti ya kufungia ndoa na vinginevyo.

Amos aliachana na mambo ya ushoga Agosti, mwaka jana baada ya kuokoka na kufanyiwa maombi na mchungaji kiongozi wa kanisa la T.A.G, Magomeni Mikumi jijini Dar.

  GPL

HII NI LAANA:TAZAMA VIDEO INAYOONYESHA JINSI MASHOGA NA WASAGAJI WALIVYOPEWA TUZO NCHINI KENYA WEEKEND HII..

Polisi wa Kenya wametoa kibali kabisa kwa tukio la  utoaji wa tuzo weekend hii kufanyika ......Watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, yaani mashoga na wasagaji wamepewa  tuzo mbalimbali....
CHEKI VIDEO HAPA CHINI..

HII KALI: WANAUME WAWILI MASHOGA WAPATA VYEO VIKUBWA SEREKALINI...MMOJA NI WAZIRI MKUU MWINGINE MSAIDIZI

Hii itakua ya kwanza duniani kwa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kupata vyeo vikubwa kwenye serikali kuu ya nchi.
Makundi mengi yenye maoni tofauti yamekuwa yakipinga mapenzi ya jinsia moja na makundi mengine yakitetea, huko Luxemburg mwanaume anayejulikana kwa jina Xavier Bettel ambaye ameweka wazi kwamba anashiriki mapenzi ya jinsia moja amekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo.
Hapo hapo mwanaume mwingine Etienne Schneider ambaye pia aliweka wazi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja amepewa umakamo waziri mkuu akimsaidia kazi Xavier Bettel .
Baada ya wawili hawa kupata vyeo hivi vya juu imefanya nchi ya Luxemburg kuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na viongozi wa juu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja waziwazi.

LAAANA!!! MIDUME MIWILI YAKUTWA IKINGONOKA MGAHAWANI CHOONI...TAZAMA PICHA HAPA



These two young men were caught enjoying themselves at the toilet facility of a Top restaurant in the city.

According to information gathered by paparazi, the young men came to the restaurant to eat, but after enjoying their meals, they decided to go to the washroom at the restaurant and to do what husband and wife should be doing.

A source told paparazi that, they were caught when one of the customer’s at the restaurant went to the washroom to urinate, but then suddenly heard strange noises coming out from the toilet facility. He went closer to find out what was happening.

Lo and behold, they found these two young men enjoying their back sides. The owner of the Restaurant immediately call the Police to come and deal with the issue.

 As soon as the police arrive, the gay guys started complaining about how their human rights was being violated. They say they have the right to enjoy each others back side.

The police officers got angry and then sent them to the Police Station to face the law.

>>>>BOFYA HAPA CHINI KUTAZAMA PICHA LIVE> 

HII KALIl:HIZI NDIZO DALILI KUMI ZA MWANAUME KUWA SH**G**...!! SOMA HAPA KUZIFAHAMU...


Siku hizi wanaume wengi wamekuwa na tabia mbaya za ushoga ..wengine wanaonyesha live wengine wanajificha ficha ila kuna dalili unaweza kujua kuwa ana tabia hizi ,,,Hizi ni Baadhi tu ukiona mvulana ana tabia hizi basi anza kumchunguza vizuri inawezekana kabisa kuwa si ridhiki...
-------------------------
1. Kutia kalikiti kichwani
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo
4. Kutoboa pua/sikio
5. Kupaka lip shine
6. Kuvaa nguo za kuacha mattako nje
7.Umbea
8.Kupigana vijembe
9.Kupenda taarabu
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti
11.Endeleza.......


Ni ipi kati hizo umewahi kuziona kwa Kidume?

Hizi Ndio sababu za kwanini Wabunifu wengi wa mitindo wa kiume Duniani ni 'Mashoga'...!!

Bila shaka umeshajiuliza sana kwanini wabunifu wengi wa nguo wa kiume duniani ni mashoga. Haya ndio majibu: Kwanza, tasnia ya mitindo (fashion industry) kiutamaduni imekuwa ikiwakubali zaidi mashoga wanaojulikana wazi (openly gay men) tofauti na fani zingine. Hata leo, ni changamoto kubwa kwa shoga kufikia level ya kuwa CEO ama Mkurugenzi kuliko wanaume wa kawaida. Tofauti ni kwamba shoga kwenye fashion anaweza kuheshimika na kuenziwa kwenye fani hiyo na kufanikiwa binafsi na kifedha bila kudhihakiwa kama ambavyo anaweza kujikuta akifanyiwa kwenye fani zingine kama upolisi, jeshi na kwenye michezo. Marc Jacobs Marc Jacobs Mifano mizuri inaweza kuwa kwa manguli wa fashion duniani kama Valentino Garavani, Yves Saint Laurent, Perry Ellis, Karl Lagerfeld, Alexander McQueen, Gianni Versace, Alexander Wang, Giorgio Armani, Marc Jacobs (Louis Vuitton) Domenico Dolce na Stefano Gabbana, Tom Ford na wengine. Na hata kwa Tanzania wapo wengi wanaofahamika wazi. karl-lagerfeld-photographe Karl Lagerfeld Japokuwa mambo yanabadilika na hasa kwa nchi za wenzetu na kukubalika kwa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kumefanya mashoga nao wafanikiwe kwenye fani zinazotawaliwa na wanaume wa kawaida, lakini mifano ya dunia halisi inabaki michache na hasa tu kwenye majiji ama nchi ambazo mashoga na wasagaji wanapewa heshima sawa na wengine. Dolce-Gabbana-13 Pia kihistoria mashoga kwenye fashion walikuwa wakipewa kipaumbele zaidi kuliko wanawake. Ni Coco Chanel pekee ndio alikuwa miongoni mwa wanawake wachache waliofanikiwa kwenye kiwanda hicho kilichokuwa kikitawaliwa zaidi na mashoga Christian Dior na Cristobal Balenciaga. dolce-and-gabbana 
Dolce & Gabbana Pili, inasemekana kuwa utamaduni wa ushoga huwapa nafasi watu hao uwezo wa ubunifu. Mashujaa kwenye jumuiya ya mashoga sio wachezaji wa soka ama wanajeshi- japo wapo. Lakini zaidi wapo kwenye muziki, uigizaji, utengezaji wa filamu, uandishi na sanaa zingine. Hii ni kwasababu ya ukweli kwamba hizi ndio zilikuwa kazi ambazo mashoga waliweza kufanikiwa na kuendelea kuwa walivyo na kujivunia wanachokifanya. Uwezo wao wa ubinifu huongezeka na ile sense ya upekee ambayo mashoga huikuza ndani ya ulimwengu wa mapenzi ya jinsia mbili (heterosexual world). 1_(1)-7 
Tom Ford Pointi ya msingi: Upenzi wa mashoga katika urembo, utanashati hauwezi kuelezeka. Inasemekana kuwa mwanaume anayebuni nguo nzuri kwa mwanamke aidha hutaka kuwa na mwanamke ama hutaka kuwa mwanamke’
Credit: Bongo 5

RIPOTI: NGONO KINYUME NA MAUMBILE ZAONGEZEKA NCHINI...


Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Nchini (Tacaids) imesema tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa vitendo vya ngono kinyume na maumbile vinazidi kuongezeka.

Hayo yalisemwa jana na Dk. William Kafura, katika mkutano wa sita wa Chama cha Wabunge cha Kupambana na Ukimwi (Tapac).

Alisema hiyo inatokana na imani za kishirikina kwamba wakifanya vitendo hivyo watapata bahati kwa kupandishwa vyeo.

“Lazima tukubali tatizo lipo na tulitafutie suluhisho, utafiti upo umefanywa na Muhimbili, umefanywa na chuo kikuu cha Dar es Salaam, umefanywa na Tasisi ya Utafiti ya Ifakara,”alisema.

Alisema pia wafanyabiashara wanaamini kwa kufanya vitendo hivyo watajirika wakati wanawake wanaamini kuwa watazidi kupendwa.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa TACAIDS, Dk. Fatuma Mrisho, alisema utafiti uliofanyika nchini unabainisha kuwa wanawake hawana uelewa wa kutosha juu ya kujikinga na maambukizi ya ukimwi.

Akizungumzia suala la kujikinga na ugonjwa wa Ukimwi Dk. Mrisho alisema kuwa wanaume wana uelewa mkubwa zaidi kuhusu ugonjwa huo kuliko wanawake.Hata hivyo, alisema kwa sasa ipo kazi kubwa ya kutoa elimu kwa wananchi na hivyo kuwataka wabunge na viongozi mbalimbali kutoa elimu juu ya kujikinga na gonjwa hatari la ukimwi.

Aidha Mrisho alisema kuwa kwa sasa Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya Virusi vya ukimwi kwa asilimia 14.8 ambapo Unguja Kaskazini inamaambukizi madogo kwa asilimia 0.1.

Hata hivyo alisema kuwa kuna changamoto mbalimbali ambazo wanakumbana nazo ni pamoja na rasilimali za ukimwi kwa serikali, mashirika ya Dini na sekta binafsi kuwa pungufu kuliko mahitaji.

Alisema pamoja na kuwepo kwa changamoto lakini nia ni kufikia sifuri tatu ifikapo mwaka 2015 na hiyo hipo katika ulimwenguni, Afrika hapa hapa Tanzania.

PICHA:HII NI LAANA CHEKI WAKINA DADA WAKINYONYANA DENDA BILA AIBU

Hizi tumezipata facebook wakiwa wamepost kwenye kurasa zao, ina maana hii hali ipo kwa dada zetu, jamani wanaume wameisha au ni nini????????

 

These are the kind of pictures  you see our beautiful African ladies posting on their wall...
Well if they are able to share it on their wall that means they don't mind the whole world seeing them, right? Behold.

















KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE HAKUFAI......EPUKA KUJIZIBA MATAMBARA MAANA NI AIBU....!!


                Hii  ni picha  ya  mashoga ambao  bado  hawajitambui......Ni  jamii fulani  ya  watu  ambao UZUNGU  umewaponza.....

Ndugu  zangu,  ni  imani yetu  kuwa  jamii yetu  inahitaji kuelimishwa  sana ili tuweze  kuikomboa  mikononi mwa  hii  dhambi ambayo  ndo  dhambi kubwa  kuliko  zote......

 Tusipende  kuiga  kila kitu toka  kwa  WEUPE.Kabla  hujafanya maamuzi  yoyote Ni bora ukumbuke mambo yafuatayo:-
 
1. TIGO  Sio tendo asilia katika swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..

Wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. ........

  2.Mpaka  sasa  sidhani  kama  kuna kondom  imara yenye uwezo wa kustahimili joto la huko "nyuma" .....

Kondom za kawaida  husababisha muwasho utakaoweza kukusababishia maambukizo mengine yatokanayo na wadudu asilia walioko sehemu hiyo ya haja  kubwa......

 3.Mara mishipa ya makalioni  ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.

EPUKA  KUJIZIBA  MATAMBARA....UTU  WAKO NI  BORA  KULIKO  HIYO  STAREHE  YA  DAKIKA CHACHE
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari