Like Us On Facebook
Showing posts with label Bongo za kitaa. Show all posts
Showing posts with label Bongo za kitaa. Show all posts

KAULI MBIU:NIPE SAMAKI NIKUPE UCHI..HII NI HATARI!!

Akina mama wamewezeshwa sasa kujikumu kwa kuvua Samaki wenyewe

Katika ufuo wa bahari ya Ziwa Viktoria kuna biashara inayovuma-dau za uvuvi zilizotengenezwa kwa mbao zimejaa si haba, asubuhi zimejazwa Samaki wa Tilapia,
Nyakati za asubuhi na mchana, wavuvi hukusanyika na kupiga foleni kununua Samaki; wengi wao wakiwemo wanawake ambao wanatumainia kupata faida; japo kidogo, katika soko lililo karibu.

Ila, katika sehemu hii ya Kenya, biashara hii haifanywi kwa ubadilishanaji wa pesa kwa Samaki.
Malipo ni ubadilishanaji wa ngono kwa Samaki: wanawake wanauza miili yao kwa matumaini kuwa wataeleka nyumbani na Samaki wengi.

Biashara hii inajulikana kama “ubadilishanaji wa ngono kwa samaki” ama, kwa lugha ya kiluo, inajulikana kama “jaboya”.

Lucy Odhiambo, 35, anatayarisha ununuzi wake wa mwisho, ambao ataupeleka sokoni; anawapasua samaki na kuwatoa uchafu wa tumboni. Ni mjane, na mama wa watoto tano, anasema kuwa wanawake hapa wanalazimika kufanya wasiyotarajiwa kufanya na jamii.

"Inanilazimu niuuze mwili wangu kwa wavuvi ili nipate samaki kwa sababu sina uwezo wa kujikimu", anaiambia BBC.

"Kawaida, mimi hulala na wavuvi wawili au watatu kwa juma. Naweza pata magonjwa, ila sina budi kufanya hivyo. Nina watoto ambao nafaa kuwalipia karo. Jaboya ni tendo baya mno. "

Ugonjwa anaouongelea hapa ni ukimwi ambao umeenea sana katika eneo hili. Ripoti za afya zinadhihirisha kuwa ugonjwa wa Ukinmwi umekithiri katika eneo hili ukiipiku kwa 15% maradufu ile idadi ya wastani ya nchi. Hii inatokana na biashara hii ya “ubadilishanaji wa ngono kwa samaki.

‘Hatutegemei tena wanaume’

Japo polepole, tabia hii inabadilika, huku ikielekea kuisha.

Wanawake Wavuvi

Agnes Auma ananipileka ufuoni mwa bahari katika dau analomiliki.
Dau hilo linatumiwa na wavuvi ambao amewaajiri kazi, na wanapovua Samaki, yeye ndiye hufanya uuzaji.

Anawalipa wafanyakazi wake na pia gharama za huduma za dau lake, kisha anasalia na hela kadhaa za kujikimu.
Mradi unaoendeshwa na shirika la uthamini la eneo hilo linalooitwa Vired unapata msaada kutoka kwa shirika la Marekani la US Peace Corps, na umeweza kuyabadilisha maisha ya wanawake katika eneo hilo.

Tunapiga gumzo wakati dau linazidi kuingia ndani ya ziwa , huku likipita juu ya magugu, na mimea ya baharini, jitihada inayowafanya wavuvi kuloa jasho.
"Niliona kuwa ningekufa iwapo ningeendelea kuuza mwlili wangu kwa minajili ya kupata samaki-na singeendelea,” Bi. Auma alisema.

“Mradi huu unanisaidia kupata riziki yangu, hivyo basi, si lazima niwategemee wanaume kujikimu. Na, ninapolipia gharama za huduma za dau, nafanya hivyo nafsi yangu ikiwa safi na tulivu.”
Tunapofikia sehemu Fulani ndani ya ziwa, wavu unatupwa majini.

Dakika chache baadaye, wavu unatolewa ukiwa umejaa Samaki.
Kisha, samaki mkubwa wa kamongo anainuliwa na kutupwa ndani ya dau, huku Bi. Auma akitazama.

“Nina furaha kubwa kutokana na jitihada za wavuvi wangu, pia nina furaha kuwa mimi ni mvuvi wa kike ambaye ana bidii na nguvu,” anasema huku akitabasamu.
Leo hii, mradi huu wa Vired, una idadi ya wanawake 19, ila shirika hilo linatumai kuwa idadi hii itaongezeka kadiri muda utakavyoendelea.

"Ubadilishanaji wa ngono kwa Samaki ni biashara yenye hatari kwa sababu, kila siku tunagundua kuwa watu wanakufa kutokana na ugonjwa wa Ukimwi,” anasema Dan Abuto wa shirika la Vired.

"Tunahitaji kuwainua wanawake hawa kiuchumi, kinafsi na pia kijinsia ili waweze kupata namna ya kujikimu na kujisimamia. Tuna furaha kuwa mradi huu unavuna matokeo mazuri, na pia wanawake hawa wanadhihirisha bidii na utashi.”

‘Nina aibu’

Ila, hii ni sehemu moja tu ya nchi yangu ambayo “jaboya” ni maarufu.
Na hata hapa, kuna wale wavuvi ambao wanafurahia wakilipwa kwa pesa.

Dagaa

Lucy Odhiambo: "Nalazimika kulipia samaki kwa kuuza mwili wangu kwa sababu sina namna nyingine ya kujikimu”
Nakutana na Felix Ochieng, 26, mvuvi ambaye ameoa ila bado anajihusisha na matendo ya ngono nje ya ndoa na wanawake wengine watatu kwa juma, huku akiwapa samaki.

Ananiambia kuwa mwanamke atalipia samaki wa shilingi 1000 kwa pesa taslimu ya shilingi 500 ($6; £3.50), huku akitumia mwili wake kujaza akiba ya hiyo shilingi 500 nyingine iliyosalia.

“Niilirithi tabia hii kutoka kwa babangu mwenye alikuwa akifanya vivi hivi," anasema, huku akiapa kuwa anatumia kinga.
Namuuliza iwapo ana aibu kutokana na kile anachofanya.

"Ndiyo, nina aibu,” anajibu huku akiangalia upande wa ziwa, “na ni tendo ovu. Ila, kuna matamanio yanayotokana na wanawake."
Bado kuna kazi kubwa inayotarajiwa kufanywa ili kuimaliza tabia hii ambayo imekita mizizi katika sehemu kadhaa nchini.

Ila japo kidogo kila siku, idadi ya wanaoshiriki tabia hii inapungua, na wanawake wanaoishi katika maeneo ya ziwa Viktoria wanapata kujua hatari zinazotokana na biashara hii.
Kuimaliza biashara hii ya “ubadilishanaji wa ngono kwa samaki” kabisa, tutahitaji kubadilisha fikra na mitazamo yetu, ili kuweza kupata mtazamo mzuri ulio faafu wa jinsia zote.

Na hiyo itakuwa ngumu kufanikisha; kikwazo cha kuweza kufanya biashara ya ubadilishanaji wa samaki kuwezeshwa na pesa pekee.
<<BOFYA HAPA UPATE UTAMU WA MJINI>> 

BREAKING NEWS: MAPIGANO MAKALI YANAENDELEA KATIKA ENEO LA MBEZI JUU JIJINI DAR ES SALAAM

 Hili ni kundi la vijana waendesha bodaboda wakienda mtoni kumwokoa mwenzao ambaye wanadai ametekwa na wahuni wanaojificha mtoni na kukaba watu, mpaka sasa boda boda aliyetekwa yupo mwananyamala hospital na mmoja wa vijana wanaoaaminika kwamba ni vibakaba ameshauawa
Kuna mapigano makali eneo la kwa mzee Juma Kata ya Mbezi juu.
Habari zaidi zionasema kwamba Waendesha Bodaboda hao wanaendelea kupambana kwa kutumia silaha za jadi dhidi ya vijana wanaosemekana aidha 
ni vibaka au wameiba pikipiki ya mwenzao.
Hali ni mbaya majeruhi ni wengi na inasemekana kuna vifo vimetokea.
SOURCE:kapinga blog
<<USISAHAU KUBOFYA HAPA ILI UPATE UTAMU WA MJINI>>

DEREVA ANASWA AKINGONOKA NDANI YA GARI LA KAMPUNI,POLISI WAMBANA!


Yelewiii!  Dereva ‘suka’ wa kampuni moja binafsi yenye makao yake makuu Kurasini jijini Dar (jina halikupatikana) Jumapili iliyopita alinaswa akifanya mapenzi na changudoa  ndani ya gari la kampuni hiyo, kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kilishuhudia tukio hilo laivu.

Dereva huyo akiwa na mwenzake walifika maeneo ya Mbagala Zakhem saa 7 usiku wa Februari 16, mwaka huu bila kujua kama OFM ilikuwa katika maeneo hayo kwa ajili ya kufanya oparesheni tokomeza machangudoa.
OFM ilimshuhudia dereva huyo na mwenzake wakishuka ndani ya gari aina ya Toyota Hilux (isiyokuwa na ‘pleti’ namba upande wa  mbele) mali ya kampuni  hiyo, wakiingia kwa fujo katika moja ya madanguro maarufu na kupaki gari  kisha wakashuka kuelekea kwenye danguro la machangudoa.
Baada ya muda, mmoja wao alirejea akiwa na changudoa maarufu kwa jina la Waluwalu na kujifungia ndani ya gari hilo.
Kama kawaida yake OFM iliwataarifu askari wa Kituo cha Kizuiani waliokuwa doria katika eneo hilo ambao kwa pamoja walilivamia gari na kumuamuru dereva  ashuke.
Hata hivyo, suka huyo alikuwa mbishi akaamua kufunga milango na kupandisha vioo ili asiweze kubughudhiwa na kile alichokuwa akikifanya ndani ya gari.
Askari waliokuwa na silaha wakalizunguka gari hilo na dereva huyo alipoona mambo yamekuwa magumu alifungua mlango na kutimua mbio lakini hakufika mbali kabla ya kuwekwa chini ya ulinzi sambamba na changudoa aliyekuwa naye.
Akizungumza kwa hofu dereva huyo alisema, yeye na mwenzake ni madereva wa kampuni... (jina tunalo) na walikuwa maeneo hayo kwa bahati mbaya na si kama walifika kuwanunua machangu hao.
Dereva huyo alipotakiwa atoe sababu za kujifungia ndani ya gari hilo na changudoa kisha kutoa pleti namba ya mbele ya gari, alijitetea kwa kusema kuwa pleti namba ilidondoka barabarani tangu mchana, hivyo walikuwa wakimtafuta fundi ili awatengenezee.
Alipohojiwa changudoa waliyekuwa naye, hakuwa na lolote la kusema zaidi ya kuangua kilio na kuomba aachiwe huku akilaumu ukali wa maisha kama sababu ya kujiingiza katika biashara ya kujiuza.
Wahusika hao walifikishwa Kituo cha Polisi cha Kizuiani kabla ya kesho yake (Jumatatu) kupelekwa Mahakama ya Jiji kusomewa makosa yanayowakabili.
-GPL

HUYU NDO MZUNGU ANAYEFANYA BIASHARA YA BODABODA JIJI DAR,MTAZAME HAPA!



Hapa Mzungu huyo akiwa kijiweni maeneo ya Bamaga akisuburi wateja

AIBU:DIVA WA CLOUDS APEWA MAKAVU LIVE KUHUSU "MATAKO YAKE YA BANDIA

Huddah kushoto na Diva kulia..
Diva Loveness Love apewa maneno mazito na matusi kutoka kwa mashabiki wanaomfatilia katika kazi zake za hapa na pale. katika kauli hiyo shabiki huyo alifunguka na kumjadili Diva vya kutosha
 

Nanukuu "Huyu diva hivi ana akili kweli kudanganya watu kweupe ndio nini ... Embu angalieni hiyo picha ndio mtaelewa Yani Kabisa milima na mabonde kuvaa godoro ndio ili iweje ... Diva acha ujinga unachekwa mjini kwa kutafuta tako kinguvu acha kuvaa maana shape inajulikana ni Ya simba,, cha ajabu ukikutana nae hayupo hivyo kabisaaaaaaa...
 Na camera 360 acha kabisa unajipimp sana wakati We ni mbaya kuvaa malenz mwisho utapata macancer Ya macho Bure... ... Swala ni kuacha kuvaa matako bandia usishindane na hudda mwenzio kaajaliwa"

BAADA YA KUTANGAZA KURUDI SHULE,CHEKA AANZA UTORO SHULENI!

Bondia Francis ‘SMG’ Cheka, amedaiwa kuingia darasani siku moja tu tangu aliposajiliwa kama mwanafunzi mpya wa Chuo cha St Joseph cha mjini Morogoro Septemba mwaka jana.
Akizungumza na MWANANCHI, mwalimu wa Cheka aitwaye Mkisi amesema Cheka ameomba kuendelea na masomo baada ya kutoonekana darasani kwa miezi kadhaa bila taarifa yoyote, na kubainisha kuwa hawawezi kumruhusu kuingia muhula wa pili.
Cheka alipewa ufadhili wa masomo chuoni hapo mwaka jana mara baada ya kutwaa ubingwa wa dunia wa WBF Agosti 30, baada ya kumpiga Phil Williams wa Marekani katika pambano lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkisi amesema kuwa bondia huyo amekosa vipindi kwa muda mrefu hivyo hawezi kuingia muhula mwingine, kwakuwa atakosa vitu vingi hivyo anapaswa kujisajili kama mwanafunzi wa muhula mpya utakaoanza Machi 24.
“Cheka aliingia darasani siku moja na ‘kupotea’ hata hivyo hivi karibuni alikuja na kutuambia anataka kuendelea na shule ingawa hatuwezi kumuendelezea programu yake ya awali,” alisema Mkisi.
-Mwananchi

MCHAWI WA UNGO ADONDOKA, AGEUKA KUKU


HALI ya taharuki iliyoambatana na imani za kishirikina iligubika Jiji  la  Arusha kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina kudondoka na ungo wa kishirikina asubuhi ya Ijumaa iliyopita kisha ghafla kubadilika  kuwa kuku mweupe mwenye mayai ndani ya ungo, Uwazi limeona mengi.

Mamia ya wananchi katika eneo la Kimandolu kando ya Barabara ya Arusha- Moshi walimiminika kushuhudia tukio hilo lililojiri saa tatu asubuhi.
Akizungumza na Uwazi, shuhuda mmoja wa tukio hilo ambaye ni dereva wa bodaboda, Martin Mbise alisema:
“Nilikuwa kwenye shughuli zangu za kila siku, ghafla niliona kitu kipana kikidondokea kwenye huu mtaro, ndani yake nikamwona mtu amekaa akiwa uchi wa mnyama.

“Wengi tuliamua kusogelea eneo la tukio, lakini kabla hatujakifika, mtu huyo alitoweka, badala yake mle mwenye ungo  mkawa na kuku mweupe na mayai zaidi ya kumi, tulishangaa sana:
Mbise alisema hali hiyo ilidumi kwa saa mbili na nusu, ndipo wananchi hao wakaamua kumchoma moto kuku huyo baada ya kumuua na kuyavunja mayai.

Hata hivyo, alisema haikuwa rahisi kuku huyo kuungua licha ya kumwagiwa mafuta ya taa na petroli na wakachukua uamuzi wa kumkatakata na kugawana nyama yake huku baadhi
yao wakikimbia hovyo na kulaani tukio hilo.

Baadhi ya wakazi wa eneo hilo walisema tukio hilo ni laana na anapaswa kuitwa mtumishi wa Mungu kwa ajili ya kukemea pepo mchafu kwa maombi ya kiroho wakiamini mchawi huyo alikuwa ana lengo la kuwadhuru.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Lebaratus Sabas hakuweza kupatikana kuzungumzia tukio hilo, lakini baadhi ya maafande waliofika katika eneo hilo walithibitisha.

MHHH HATARI: UTAJIRI WA MBUNGE WA CCM "VICKY KAMATA" NI BALAA..KANUNUA HADI MGODI,CHEKI MWENYEWE HAPA


WANAWAKE na maendeleo, tufanye kazi, tusonge mbele, yelele…yelele… Hii sehemu ya mashairi ya wimbo wa staa wa muziki wa kizazi kipya na Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM), Geita, Vicky Kamata anayetajwa kuwa na utajiri balaa.


Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM), Geita, Vicky Kamata.
UWAZI LINA KILA KITU
Vicky amepata mafanikio makubwa ambayo kila mwanamke Tanzania angependa kuyapata. Gazeti hili lilimchimba kwa kina na kupata utajiri wote alionao kwa sasa.

KABLA YA SIASA, KABLA YA BONGO FLEVA
Kabla ya siasa aliishi maisha ya dhiki ambayo hakutegemea kama angekuja kupata mafanikio makubwa. Ni miongoni mwa Watanzania waliozaliwa katika familia duni.
Katika kutafuta ‘kutoka’ kimaisha, Vicky amewahi kuwa mwanamuziki wa Bongo Fleva na kutunga nyimbo mbalimbali, wimbo wa Wanawake na Maendeleo ndiyo uliomtambulisha zaidi katika jamii.

“Nimezaliwa kwenye familia duni, nimeishi maisha ya dhiki sana, mbali na muziki, nimewahi kuwa mwalimu wa shule ya msingi kule Moshi (Kilimanjaro) katika harakati za kusaka maisha, baadaye nilikwenda Morogoro.
“Kila kitu kinabadilika kama ukimwamini Mungu,” alisema Vicky mwenye watoto wawili, Revocatus na Glory (jina la baba halikutajwa).
MAFANIKIO YAANZA
Mwaka 2006, Vicky alifanikiwa kuajiriwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) akiwa ni afisa uhusiano.
Mwaka 2010, Vicky alifanikiwa kuwa mbunge wa viti maalum akiuwakilisha Mkoa wa Geita.

MJENGO WA GHOROFA MBILI
Akiwa mbunge, Mheshimiwa Vicky ameingia kwenye orodha ya wanawake mabilionea nchini kwa kuangusha mjengo wa kifahari wa ghorofa mbili Sinza jijini Dar es Salaam wenye thamani ya shilingi bilioni moja na milioni mia nne.

Ndani ya ghorofa hilo kuna bwawa la kisasa la kuogelea ‘swimming pool’ ambalo linatumiwa na familia yake.
MAGARI YAKE SASA
Kama walivyo matajiri wengine, mheshimiwa huyo anamiliki magari manne ya kifahari, yote yakiwa na thamani ya shilingi milioni 261.
Ana Toyota Voxy- Noah ambalo alilitoa sokoni kwa shilingi milioni 16.
Kamata pia anamiliki BMW X5 likiwa na thamani ya shilingi milioni 130.

Mara nyingi anapokwenda bungeni, Vicky hutembelea gari linalomudu mikiki ya barabarani, Toyota Land Cruiser ‘VX’ ambalo lina thamani ya shilingi milioni 90.
Pia mwanamama huyo ana gari aina ya Toyota Altezza alilolinunua kwa shilingi milioni 25.

ANAMILIKI MGODI WA DHAHABU
Wakati hayo yakiwa wazi, chanzo makini kilidai kuwa, mheshimiwa huyo amenunua mgodi wa dhahabu Geita, jambo ambalo ni sehemu kubwa ya mafanikio yake.

“Vicky amenunua mgodi wa dhahabu Geita, mimi ni mtu wangu  wa karibu, hapendi kusema mafanikio yake wala watu wajue lakini ukweli ndiyo huo. Eneo ni kubwa, muda si mrefu uchimbaji utaanza,” kilisema chanzo cha habari kwa sharti la kutoandikwa jina gazetini.
ANA SHAMBA LA EKARI 157
Utajiri wa mheshimiwa huyo unaendelea kuanikwa kuwa, ni pamoja na shamba  lenye ekari 150, Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Pia ana shamba la miti Kibamba, Dar lenye ekari 7.

NI MFUGAJI
Mbali na mambo mengine, Vicky ni mfugaji kama ilivyo asili ya Wasukuma. Anafuga ndege aina ya kanga, kuku wa kisasa na mbuzi.

ANASOMESHA WATOTO WASIOJIWEZA
Katika mambo ambayo huenda yanachangia kuchota baraka, mheshimiwa Vicky anawalipia ada ya sekondari watoto yatima, walemavu na wasiojiweza kimaisha, idadi yao ikifikia 75.

KIPATO CHAKE KIKOJE?
Dodoso zinaonesha kwamba, kwa kazi ya uheshimiwa, kwa mwezi anaingiza shilingi milioni 15 ukijumlisha posho zote za ubunge, ujumbe wa kamati ya bunge na mshahara.

AMFUNIKA ANNE MAKINDA
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa, jumba la kifahari la Vicky Kamata linalifunika lile la bosi wake ambaye ni spika wa bunge, mheshimiwa Anne Makinda. Yeye nyumba yake ipo Kijitonyama.

ULINZI NYUMBANI KWAKE USIPIME
Uwazi lilipata bahati ya kufika nyumbani kwa Vicky  na kukumbana na ulinzi wa mitambo ya kisasa ya kuzuia wezi na majambazi kwa saa 24.
Ili mgeni aingie ndani ya geti huhojiwa na walinzi kwa dakika zisizopungua kumi.

WABAYA WAKE WAMUUNDIA ZENGWE LA FREEMASON
Huwezi kupendwa na kila mtu, hii ni baada ya mwandishi wa gazeti hili kuamua kupiga kambi kwa muda wa siku mbili jirani na nyumba ya mheshimiwa huyo ambapo baadhi ya watu waliohojiwa kuhusu ukwasi wa mbunge huyo mwanamke walisema huenda ni memba wa Freemason.

“Mafanikio ya mbunge huyu bwana ni makubwa mno, tunasikia watu wakisema huenda ni Freemason. Lakini ndivyo tulivyo Watanzania, mtu akifanikiwa kidogo wanasema ni Freemason, ninavyomfahamu huyu dada amepiga hatua, sijawahi kumsikia na mambo ya Freemason,” alisema jirani mmoja na kuungwa mkono na wenzake.
MSIKILIZE VICKY
Katika mahojiano maalum na Uwazi kuhusu utajiri wake, Vicky alisema:
“Mafanikio yote yametokana na juhudi zangu za kujituma katika kufanya kazi, namwamini Mungu siku zote. Hakuna dhambi mbaya hapa duniani kama kukata tamaa.

“Tukifanya kazi kwa kujituma na kumwamini Mungu hakuna Mtanzania maskini.
“Kila mtu ana uwezo wa kubadilisha mfumo wa maisha akiamua, umaskini wa watu si chaguo la Mungu, kila jambo litokealo kwa mwanadamu lina maana kubwa kwa Mungu.”

KAULI YA UWAZI
Wanawake nchini waige mfano wa Vicky kwa kukamata fursa mbalimbali na wanapofanikiwa wawasaidie wengine, kama kusomesha yatima na wasiojiweza

AIBU KUBWAA...!! MREMBO AFUMANIA PICHA ZA NUSU UCHI ZA RAFIKI YAKE KIPENZI KWENYE SIMU YA MCHUMBA WAKE..TAZAMA HAPA.


Ni siku ambayo sito isahau. Siku amini macho yangu siku nilipokuta picha za nusu uchi za rafiki yangu kipenzi Nancy kwenye simu ya mpenzi wangu Dany.
Picha zilitumwa watsapp na yeye mwenyewe Nancy kwenye simu ya mchumba angu.Nilipo muuliza alinijibu kwa ujasiri tu kwamba wamekuwa wakidate kwa muda sasa, na huku akiongezea kwamba Dany is so sweet yani huyo
mchumba angu. Daaah Nifanyaje jamani. Naombeni USHAURI..!!

MODEL WA TANZANIA HAMISA AZUNGUMZIA KUTOA PENZI KWA MWANAMUZI DIAMOND...HUYU HAPA

MREMBO anayedaiwa kuliingilia penzi la staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, aliyewahi kushiriki Shindano la Miss Tanzania, Amisa Mabeto amefunguka kuwa  mwanamuziki huyo ni shemeji yake tu, hakuna chochote kati yao.
Amisa Mabeto.
Akipiga stori na safu hii kuhusiana na madai hayo, Amisa alisema alistaajabu kwani hana mazoea na Diamond Kama ni kuonana waliwahi kuonana miaka ya nyuma, tena siyo kimapenzi.
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
“Kamwe siwezi kutembea na Diamond na haitatokea kwani jamii nzima inajua yupo na Wema na mimi huyo mtu ni rafiki yangu mkubwa, hana chake hapa, siwezi kutembea naye kamwe, namheshimu kama shemeji yangu,” alisema Amisa.
Amisa aliwahi kuripotiwa kuwa na uhusiano na Diamond akiwa ni shosti mkubwa wa Wema.

HUYU NDIYE MKENYA FREEMASONRY AMBAE KAPOST PICHA ZA NDUGU ZAKE ALIO WAUA NA KUANDIKA MANENO YA DHARAU KATIKA PICHA HIZO SOMA ZAIDI HAPA

KATIKA HALI YA KUSIKITISHA JAMAA HUYU RAIA WA KENYA AMEPOST PICHA NA KUANDIKA CAPTION ZA DHARAU NA MAJIGAMBO KWA KUWAUA NDUGU ZAKE ILI AWE TAJIRI KUPITIA UFREEMASONRY AMBAO SASA UNASHIKA SANA CHAT NCHINI KENYA NA ULIMWENGU KWA UJUMLA.
While many would dismiss the allegations as mere infatuations and unrealistic,what NE discovered after days of combing out the history of his Facebook history is chilling. He was married to Leah Nganga and had two kids together,but she died under unclear circumstances. Sources claims he sacrificed her and build luxury homes in lamu with the "sacrifice money. His posts on the wife's death doesn't show any bit of grief.
While you are still in denial,his next victim was the sister,who also under unexplainable circumstances died. He doesn't caption her as his sister but as mother's daughter who also according to sources had earlier died under unclear same style
Having lost the wife,he was moving in,a love relationship sparked on Facebook between him and a lady known as Faith Evans,the two kept in touch though in distance,lovy stays in states and the lady in Kenya. Her life changed completely,from rags to riches,she became envy of many,she was swimming in money which the supposedly boyfriend Lovy was showering her with. The lady was living the fantasy life of any girl out there,she even changed her relationship status to married with lovy. Little did she know what awaited her. Eventually he flew in and the two met
On the third day after their meeting and romancing but no intercourse according to a close friend talking to NE "she told me the dude refused to sleep with he and only gave flimsy excuses despite her wanting". On the third day under unclear and same style as others she died. The irony comes in his subsequent update on the woman who considered him as husband. Notice the caption,he acts clueless or perhaps sending a subliminal message of having had accomplished his mission,"who knows her whereabouts?" Could easily be interpreted as who doubted me,i've sent her to her place.
You still don't believe? You are about to. Keeping in mind he was much involved with this lady and even were seen as a couple,when asked by someone on his Facebook who the lady was,on that photo he uploaded,the response disheartening,"just a regular customer at k street" his response. People were now getting curious asking questions as to why anybody who gets close to him dies mysteriously
Coincidence? Not really,in that Faith's photo he uploaded captioned "anybody know her whereabouts" he dropped another bomb,perhaps the final answer to those asking what happened to her. The comment was a simple photo of the deceased and a date caption By saying 13th Oct,he was directing those wise to the update on that day,put in mind this photo he uploaded and commented on 21st Oct. A quick check on the update he made on the said 13th Oct is chilling Faith died on 13th Oct,now with the update he made on the same day,you connect the dots and confirms he had hand in this,he was feeling amazing since he made another sacrifice and now more wealth checked in. Things worked in his favor? Faith died,what favors was he talking about,she was sacrificed for more financial power. NE can reliably reveal that he lays trap on Facebook by posting photos depicting his wealth this makes him a magnet to the ladies. Once you get into his trap then youll be sacrificed.
While it sounds unreal and like a Nigerian movie,the man is unapologetic,in the photos of the fallen ladies he comments "relax in peace PREY" affirming that he uses ladies as sacrifices. He goes as far as admitting that he sacrifices and drinks their blood. In an instance he post an illuminati photo and says he us proud to be one
He even pays allegiance to satan just few days after the death of Faith.
He has accumulated immense wealth over time while many will argue and diminish the devil worshiping link,Lovy admits to have sacrificed his parents,brothers and sister and now ladies are his immediate targets. The possibilities of having sacrificed many apart from the ones he boasts about on Facebook like Leah Nganga,Faith Evans and the family are very high. And when you still doubt his capabilities,he issues some threats. Showing a man willing to sacrifice and drink many people's blood to gain more wealth.

UKIONA AMEANZA KUNG'ATA VIDOLE UNAJUA MAANA YAKE NINI?

Hii Picha imenikumbumbusha mbali sana enzi zileeeeee....Kama unajua hapo ukiona ameanza kung'ata vidole maana yake nini embu tujuzeeee

ANGALIA PICHA KIBAKA AKIPIGWA NA WANANCHI WENYE HASIRA

IMG 5241 97a01
IMG 5234 dcd27
Na Bakari Masasi (MUM)
Wafanyakazi wa kampuni ya Strabag, inayojenga barabara ya mabasi yaendayo kasi, wakimdhibiti kijana aliyetuhumiwa kuiba vifaa vya ujenzi wa miundombinu ya barabara na kukwamisha kwa muda maendeleo ya ujenzi huo katika eneo la Magomeni Kagera jijini Dar es salaam.
Hata hivyo, kundi la vijana wanaodhaniwa kuwa vibaka wenziye, walifanikiwa kumkomboa kijana huyo kabla ya kufikishwa kwenye mikono ya sheria, baada ya kutokea tafrani kubwa kati ya wahuni hao na wafanyakazi wa Strabag waliopewa dhamana ya ujenzi huo na serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, chini ya wizara ya ujenzi inayoongozwa na Mh. Magufuri.
Katika tukio hilo, mmoja wa wafanyakazi wa Strabag (aliyemshika kijana huyo, Pichani) alijeruhiwa vibaya kwa mawe kutoka kwa wahuni hao wakati wa harakati hizo za kumkomboa mwenzao ambaye walitokomea naye vichochoroni huku bado akiwa amefungwa kamba.

IMG 5235 44e23

HIVI HAWA WATU WAKATI WANAJIPIGA PICHA KAMA HIZI HUWA WANAFIKIRIA NINI...?? WATAZAME HAWA.

SIKU YA VALENTINES DAY MAMBO YALIKUWA HIVI KWENYE BWAWA MOJA LA KUOGELEA ...OGOPA SANA

Habari ndio hiyo..Siku ya Valentines Day Kila mtu na Wake .......Mweeee hapo mpaka magonjwa unaweza pata .....Mhhh
-udakuspecial 

KAMA KITANDANI NI ZIRO (0), BASI HATA UWE MZURI VIPI NI KAZI BURE TU....SOMA ZAIDI HAPA

Ni wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kilasiku kama kawaida.

Mimi mzima na bado naendelea kuzungumzia mapenzi, mapenzi haya haya ambayo yamekuwa yakiwaliza baadhi ya watu kila kukicha.

Wapo wanaojuta kupenda lakini mbaya zaidi wapo wanaolia kwa sababu ya vitu vidogo vidogo ambavyo vimekuwa haviwaendei sawa katika uhusiano wao.


Ni jambo lililo wazi kwamba, usaliti umekuwa ukiwatesa wengi tena ukijaribu kuchunguza sababu za baadhi ya watu kuwasaliti wapenzi wao, kutoyajua mapenzi yale ya faragha ni moja wapo.
Wapo wasichana au niseme wanawake ambao kimaumbile wana mvuto sana. Wamejaaliwa uzuri wa sura na kila kitu kiasi cha kutamaniwa na kila mwanaume wanayekutana naye.

Lakini linapozungumziwa suala la mapenzi kwa mwanamke, wanaume wanaangalia vitu vingi, achilia mbali hilo la muonenako, pia wanaangalia  utundu na ubunifu wa faragha. Hapo ndipo panapowakosesha raha baadhi ya wanawake wazuri.

Wanakuwa ni wenye kupata bahati ya kupendwa lakini hao hao ndiyo wale ambao kila siku wanaachwa. Si jambo la ajabu huko mtaani kukutana na msichana mkali ile mbaya lakini akawa si mtu wa kutulia na mwanaume kwa muda mrefu, kwanini? Kwa sababu hayajui mapenzi.

Ni tatizo siriasi?

Msichana mzuri aliyeumbika kutoyajua majamboz ni tatizo na ndiyo maana anaweza kuwa mtu wa kulia kila siku. 

Anaweza kukumbana na malalamiko kutoka kwa mpenzi wake kwamba anachokipata ni tofauti na alivyotarajia. Hakuna kinachowauma walio wengi kama kusikia kutoka kwa wapenzi wao kuwa hawawaridhishi.

Kwa maana hiyo ni tatizo siriasi lakini lina ufumbuzi wake. Hakuna aliyezaliwa na kuanza kutembea moja kwa moja, vile vile  kuingia kwenye uhusiano ukawa hujui lolote siyo tatizo ila unachotakiwa kukifanya ni kujifunza.

Zungumza na wataalam wa masuala ya mapenzi, soma vijarida na magazeti, naamini utapata elimu tosha ya kuweza kumfanyia mpenzi wako yale yatakayomfurahisha.

Ugoigoi faragha kwa mwanamke ni chanzo cha wengi kusatiliwa, tena utasalitiwa zaidi kama kila siku utakuwa ni mtu yule yule, yaani hujifunzi chochote. Mwanamke lazima awe mbunifu kwa mpenzi wake, abuni mbinu za kumdatisha ili kuhakikisha haachwi kirahisi.

Unapobaki kujisifia kuwa wewe ni mzuri wakati huna mashamsham yoyote itakuwa ni kazi bure. Matokeo yake sasa utashangaa mpenzi wako anakwenda kwa mwingine ambaye ukimuangalia na kujilinganisha na wewe, unaanza kujiuliza, hivi alichokifuata kwa yule ni nini?

Hakuna kingine, kafuata majamboz. Ndiyo maana nikasema, uzuri wako kama hujui chochote faragha, ujiandae kusalitiwa kila siku na mwisho wake utaachwa.

Ni majamboz tu?

Sifa za mwanamke anayeweza kutulia kwenye uhusiano ukiachilia mbali uzuri wa sura na umbo, tabia njema nalo ni jambo la msingi. Kama umzuri, unayajua mambo ya chumbani ile mbaya ila huna tabia njema, ni tatizo. Waswahili wanasema, tabia njema ni silaha.

Ushauri wangu

Ili uyafurahie maisha yako ya kimapenzi, hakikisha unakuwa imara kila idara. Kwanza mpende mpenzi wako kwa maana halisi ya kumpenda halafu jitahidi kumpatia furaha ya kweli.

Miongoni mwa mambo yanayoweza kumfurahisha mpenzi wako ni kumshibisha pale mnapopeana chakula cha usiku, ale ashibe na wewe ushibe, mtadumu.

Mbinu za kumshibisha mpenzi wako, zipo nyingi ila kwa kuwa ukurasa huu unasomwa na watu wa kila rika, siwezi kuandika wakati huu.

HII NI AIBU:MREMBO ANASWA KWA WIZI WA CHUPI ZA WAGONJWA HOSPITALI..TAZAMA PICHA ZA MATUKIO HAPA

MREMBO Asna Elias mkazi wa maeneo ya Manzese mkoani hapa, ameingia matatani baada ya kutiwa mbaroni kwa wizi wa nguo za ndani za mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro.
Asna Elias akiwa mikononi mwa polisi baada ya kunaswa kwa wizi wa nguo za ndani.
Tukio hilo la aina yake, lilitokea Jumatatu iliyopita mchana wa jua kali nyumbani kwa Kigogo wa UWT kupitia CCM, Bi. Mwajuma Malingo anayeishi Mtaa wa Holowera Kata ya Mji Mpya.
Asna akiziba uso wake kwa aibu baada ya kunaswa kwa wizi.
Akizungumza na paparazi wetu kuhusu ishu hiyo, Malingo alisema kwamba akiwa anaoga alisikia sauti ya vishindo vya mtu aliyekuwa akitembea.
Polisi akiangilia baadhi ya nguo za ndani alizokamatwa nazo Asna.
Kiongozi huyo wa UWT, alisema baada mtu huyo kusimama aliamua kumchungulia kupitia tundu la funguo ndipo alimuona Asna akianua nguo za ndani na nyingine ambazo zilikuwa mbichi na kuzisunda kwenye pochi na mfuko wa rambo.
Asna akiwa chini ya ulinzi.
“Kama unavyoonaniko na khanga moja tu, nilikuwa bafuni naoga  nikasikia vishindo, nilipochungulia kwenye tundu la funguo nikamuona huyu msichana anaanua nguo za mgonjwa aliyelazwa Hospitali ya Mkoa ambazo nimetoka kuzifua sasa hivi, nikajifunga khanga na kutoka nje na kuanza kumfukuza huku nikimwitia mwizi, cha ajabu na yeye alipaza sauti kwamba hakuwa mwizi bali alinifumania na mume wake,” alisema Malingo.
 
Asna akiwa na aibu baada ya tukio hilo.
Malingo aliongeza kuwa, kufuatia mayowe ya mwizi aliyotoa, watu walijitokeza na kuanza kumpa kichapo msichana huyo huku wengine wakitaka kumchoma moto.
Wakati dada huyo akiendelea kula kichapo alitokea paparazi wetu aliyewapigia simu askari wa kike waliokuwa doria ambao walifika na kumtia mbaroni msichana huyo.
Asna akipewa vidonge vyao.
Askari hao walimpeleka  Kituo Kidogo cha Polisi Kata ya Mji Mpya akafunguliwa jalada la kesi namba MJ MPY/RB/18/2014 WIZI kisha kupelekwa mahabusu ya kituo kikuu.
Asna akishushwa kituo cha polisi.
Aidha, Bi. Malingo alisema kwamba hivi karibuni amekuwa akiandamwa na vibaka nyumbani kwake kwani wiki kadhaa zilizopita wezi walivunja dirisha la chumba cha kijana wake Ally na kuiba redio ya ya shilingi 800,000, deki ya 200,000 na simu ya shilingi 100,000.

FUNDISHO KWA WENGINE: SOMA HIKI KISA HUYU DADA ALIVYOFANYIWA NA WAZUNGU BAADA YA KUWASHOBOKEA...OGOPA SANA


Alikuwa hajui na hajawai fanya mchezo huo lakini kujirahisisha kwake kwa watalii waliotembea mbuga ya Masai Mara kukamfanya afahamiane na jamaa mmoja Raia wa Germany.
 Sasa yule mzungu alinipenda na akaniambia akirudi atafanya arrangement nami nitembelee Germany na kweli baada ya mwezi mmoja alinipigia simu na kunielekeza niende kuchuku tiketi amesha kata kndege ya Emirate pale Nairobi nae atanisubiri Amsetadam.
Niliona ndo nimetoka kwani niliofika Nairobi nikakuta tiketi nisafiri wiki moja mbele.
Nilipanda ndege tulipitia Ethiopia alafu baadae tukaendelea na safari hadi amsetadam ambapo nilimkuta akinisubiri.kumbe alikuwa mwenye hela sasa tukatoka tukapanda ndege nyingine hadi ufaransa ambapo tukafikia hoteli moja.
Sikujua kama anatabia ile lakini nilikua ugenn na sina mwenyeji ilinibidi nikubali kwani night tulipoaanza kudu tu nikaona anataka tigo sasa na mimi ningekataaje ugennn ningetorokea wapi nilijaribu kumwambia sijawai lakini alinilazimisha na kuniingilia.
Baada ya tendo nilimwomba anirudishe nyumbani ingawa alinioma tuende Germany nilikataa na nashukuru nimerudi salama ila ndo nimeshafanyiwa mchezo mchafu.
Nawashauri wadada hawa wazungu sio labda kama unajua ila tabia zao mbaya sana.

NOMA SANA:HIVI NDIVYO WAPENZI WANAVYOCHOCHEA WIMBI LA ONGEZEKO LA WAPIGA CHABO WAKATI WA MAJAMBOZI!

Nilikua nikijiuliza hivi inakuaje mtu anaamua kuchungulia dirishani na anafaidika nini kuwachungulia wapenzi wakufanya yao maarufu kama chabo.. baada ya kuumiza kichwa sana nikagundua kumbe ni mfumo wa miundombinu... nyumba nyingi za uswazi ni chumba kimojaa na dirisha unakuta nyavu zimeanza kuchoka . sasa chabo inakujaje unajua sasa... mfano siku moja nlipita uchochoro mmoja bhana ile nafika dirisha fulani hvi hzo keleele nilizokutana nazo... mmmh inatakamoyo sana kuvumilia usiangalie kulikoni maana kidirisha nachoo kinashawishi sana utupie jicho kidogo aisee... sasa unadhani hiyo nafasi aipate mtoto wa uswazi ataipoteza,,, ? ni chabo mwanzo mwisho... ukweli unakuja kwamba tusiwalaumu wapiga chabo mazingira tunawatengenezea wenyewe mbona... we unajua dirisha lako tia maji tia maji bado unajiachiiiiiiiia utadhani mnacheza mkanda wa $%$#^& bhana ...... basi tujiami sasa hakikisha kabla ya gemu unaweka mazingira mazuri ya usiri

 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari