Showing posts with label Shilole. Show all posts
Showing posts with label Shilole. Show all posts
SHILOLE AFANYIWA KITU MBAYA NA WAHUNI WA MWANANYAMALA JIJINI DAR
MSANII
wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hivi karibuni
alimwaga machozi hadharani baada ya kuibiwa simu yake ya mkononi,
Mwananyamala jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa ‘sosi’ wetu aliyemshuhudia mwanadada huyo akilia, tukio
hilo lilitokea Jumapili baada ya Shilole kushuka kwenye gari lake na
kumwachia fundi kwa ajili ya marekebisho ambapo alipanda teksi na
kuelekea saluni, alipofika akajikuta hana simu.
“Shilole alilia kama mtoto mdogo kwani alikuwa anatakiwa kusafiri siku hiyohiyo usiku kwenda Uingereza, ikabidi aanze kufanya jitihada za kupata simu nyingine lakini kwa kuwa ilikuwa ni wikiendi, kazi ilikuwa ngumu kwake,” kilisema chanzo hicho.
Mwandishi wetu alipojaribu kumtafuta Shilole ili aeleze simu ilikuwa ya gharama kiasi gani, hakuwa akipatikana hewani mpaka gazeti hili linaenda mtamboni.
“Shilole alilia kama mtoto mdogo kwani alikuwa anatakiwa kusafiri siku hiyohiyo usiku kwenda Uingereza, ikabidi aanze kufanya jitihada za kupata simu nyingine lakini kwa kuwa ilikuwa ni wikiendi, kazi ilikuwa ngumu kwake,” kilisema chanzo hicho.
Mwandishi wetu alipojaribu kumtafuta Shilole ili aeleze simu ilikuwa ya gharama kiasi gani, hakuwa akipatikana hewani mpaka gazeti hili linaenda mtamboni.
-GPL
MASHABIKI WAMUAMURU SHILOLE ACHEZE UCHI STEJINI
Niwe mkweli, simfahamu msichana huyu kwa maana ya kuwahi kufanya naye kazi, ila nimewahi kusikia kazi zake hasa wimbo wake huu unaotamba sasa, Nakomaa na Jiji.
Pamoja na kwamba bado ni msanii mchanga, lakini ameonyesha kuwa anaweza ubunifu. Wengi wanapenda kuimba, lakini waimbe vipi ndiyo huwa tatizo. Ni kama Snura alivyojishauri na kuamua kuipa kisogo fani ya uigizaji na kujikita kwenye mduara.
Lakini ndani ya fani, Shilole ni aina ya binti anayewakilisha mastaa uchwara wa kike Bongo, wasiojitambua na bahati mbaya, hatambui hata mahitaji ya wateja wake.
Nimewahi kuona mara kadhaa akiandikwa magazetini kuhusu mambo yake mengi yanayokera, hasa aina ya uvaaji. Moja ya jambo lililonitatiza, ni jinsi wakati mwingine anavyovaa blauzi zake tata, zinazoruhusu matiti yake karibu yote kuwa nje!
Lakini nimejikuta nikisita kukaa kimya baada ya kukutana na kauli yake katika moja ya magazeti ya kila siku nchini, akidai kwamba anavaa vile ambavyo watu wamekuwa wakimlalamikia, kwa sababu mashabiki wake ndiyo wanapenda!
Yaani anavyovaa nguo za ajabu ajabu, yaani zenye kuonyesha sehemu kubwa ya mwili wake hadharani, ndivyo ambavyo watu wanaofurika katika majukwaa anayoimba wanavyopenda.
Ni kweli kwamba katika biashara, ni jambo la msingi sana kutazama nini mahitaji ya wateja. Muziki ni biashara na mashabiki ndiyo wateja wenyewe. Sitaki kuamini kama wale watu wanaojitokeza katika matamasha ambayo Shilole hualikwa kutumbuiza wanafurahishwa nayo.
Kwanza ni jambo la msingi kumfahamisha Shilole kwamba hana mashabiki. Nasema hivi kwa sababu kama leo hii mtu atajitokeza na kuandaa shoo ya mtu mmoja tu, ambaye ni yeye, sidhani kama atafanikiwa. Na katika hili, kuna watu wachache sana wanaweza kujaza watu katika nchi hii, wakiongozwa na Nasib Abdul ‘Diamond’.
Shilole anaalikwa katika matamasha kwa ajili ya kuchanganya ladha tu na wala asije akaona watu wanavyopiga kelele anapokuwa jukwaani basi wanashangilia mavazi yake. Huwezi jua, huenda huwa wanamzomea!
Kuvaa ovyo hakuwezi kuwafanya watu waupende muziki wako. Sijawahi kumuona msanii wa kike mvaa ovyo aliyefanikiwa kuuza sana nakala zake katika Tanzania tokea nianze kufuatilia Bongo Fleva. Sana naona wanashindwa tu, wakiongozwa na Ray C!
Lakini kuna wasanii wengi tu wa kike waliofanya vizuri na kujilundikia mashabiki, lakini bado wanavaa mavazi ya heshima jukwaani, kwenye video zao na hata wanapokuwa kwenye matukio ya kijamii. Hapa upo mfano wa Lady Jay Dee kwani ndiye msanii wa kike mwenye mafanikio zaidi lakini anayejiheshimu.
Kwangu, kuvaa mavazi yenye kuonyesha sehemu kubwa ya mwili ni kutojiamini. Anataka watu wavutike kwa kuangalia mwili badala ya kazi. Ndiyo hawa hawa waliojazana katika Muvi zetu, wanavaa nusu uchi kuwachota watu akili ili concentration yao iwe kwenye miili yao badala ya kazi zao!
Tubadilike. Nimesema mara kwa mara, ukishakuwa staa, unapaswa kuwa mfano ulio bora!
MAJANGA SANA:ENGLISH YAMUUMBUA SHILOLE

Shilole
aliamua kutandika yai kwenye Instagram, ili kuzipa uzito shukrani zake
za dhati kwa muongozaji wa video yake ya ‘Nakomaa na Jiji’ itakayotoka
Jumamosi hii, Nisher.
Bahati mbaya, yai lake lilivunjika mapema wakati lilipokuwa likiufikisha ujumbe huo na kuwafanya watu waligeuzie mjadala.
Kama tumekuacha kwa lugha hiyo, ni kwamba Shilole aliandika Kiingereza kilichokosewa sarufi aka Broken English.
Shilole aliandika: I did ever think I would do a nice video like this thank you alot to my director @nisherbybee.
Baada ya hapo, haya ndio yaliyosemwa:
[ @ ] nicrac1914 Lugha za majahazi!! Ongea Kiswahili tu utaeleweka vzr
[ @ ] lisammbando Speaking English is not a joke Hahahahah
[ @ ] clararobinso Me cjaelewa hiyo lugha mpz, kwan ulitaka kuandika nn hapo?
[ @ ] pinnadelicious Jmn mbona mnapenda kumcritisize hvo mwenzenu sa amekosea nn nyie mnaojua, duh dis is too much
[ @ ] teddybebe Jaman all in all si mmemuelewa.hata mbuyu ulianza kama
mchicha kila kitu kinaitaji mazoezi na usione aibu hata wakikucheka
mpenz jitahid tu utaelewa. @shilolekiuno
[ @ ] teddybebe Kumbukeni hata nyie mlitoka huko hata kama mlisoma za kishuaa. Vizur kumsahihisha na sio kumbeza 4h
[ @ ] m_bongo her message sent, delivered, read and understood hicks. By the way english isn't her first language.
[ @ ] tutupahamidu Did or didnt?!!thank you or thanks to my director?!
[ @ ] raqey_unique Yeah her English is not gud but a bet u all understood wat she meant so stop hating
[ @ ] pinnadelicious Kiswahili every one anajua so mdada wawatu
anajitahidi awe internationally so km tumeelewa wat she mean mbona
hakuna tatizo, sema bongo tumemeza!!!!
[ @ ] eshyleta bora washushuliwe tu, coz baadae wanaleta nyodo za
kiswanglish, et kiswahili hawezi baadhi ya maneno, km huwezi kithungu
tumia lugha yako ya taifa
[ @ ] makavlive @shilolekiuno mwisho wa ujuaji ni aibu...ona sasa,
ungeandika kiswahili isingekua shida, kutaka ung'eng'ee shule yenye
hujaenda...acha kuiga paka la baa wee ongea kinyamwezi unachokijua!
[ @ ] auma_bebe we al knw dat english iz not our mothertongue n tz nxma
mnaijua histry yke shilole ss y mnamponda hvyo bdala hta ya
kumrekebisha? sio fair bna...
HIZI NI Screenshot Baadhi..


DAH,KINGEREZA HAPANA CHEZE WEWE....
SHILOLE AWAPONDA WANAOSEMA KUWA ANAJIVUNJIA HESHIMA JUKWAANI
Baada ya watu kuongea sana kuhusu jinsi Shilole anavyo fanya show zake na staili ya kuwapandisha wanaume jukwaani na kucheza nao kwa staili ya nisheke popote.
Amejitokeza na kuongea na chombo kimoja cha habari na kusema yeye hajivunjii heshima kama watu wanavyosema bali anakizi mahitaji ya mashabiki wake..."watu wanapenda sana jinsi navyofanya ...ni njia moja wapo ya kuchangamsha show jukwaani kwahiyo sioni tatizo hapo ...wanaosema najivunjia heshima niwashamba..mimi ni msanii lazima nitafute njia ya kuwapa burudani mashabiki wangu...!!!
LADY GAGA NDO CHANZO CHA SHILOLE KUJIACHIA KIHASARAHASARA JUKWAANI

Shilole amefichua kuwa, role model wake katika muziki kwa sasa ni nyota Lady Gaga ambaye kitu kikubwa alichojifunza kutoka kwake ni kujiachia pindi anapokuwa jukwaani, na kuwaridhisha wale ambao wametoa pesa zao ili kushuhudia burudani kutoka kwake.Shilole pia amewataka mashabiki wake kukaa tayari na kolabo ambayo aliwaahidi kuwa atafanya na mwanamuziki Jennifer Lopez ambayo anatarajia kuikamilisha mwisho wa mwaka huu atakapokwenda tena ziarani Marekani.
ANGALIA JINSI SHILOLE ALIVYONYONYWA MATITI NA SHABIKI WAKE JUKWAANI...!!
Shabiki akimnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wacheze wote.

Shilole akionyesha kulegea baada ya kunyonywa na shabiki wake

jamaa akifaidi ziwa la Shilole







Subscribe to:
Posts (Atom)




