Ndugu zangu, ni imani yetu kuwa jamii yetu inahitaji kuelimishwa sana ili tuweze kuikomboa mikononi mwa hii dhambi ambayo ndo dhambi kubwa kuliko zote......
Tusipende kuiga kila kitu toka kwa WEUPE.Kabla hujafanya maamuzi yoyote Ni bora ukumbuke mambo yafuatayo:-
1. TIGO Sio tendo asilia katika swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..
Wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. ........
2.Mpaka sasa sidhani kama kuna kondom imara yenye uwezo wa kustahimili joto la huko "nyuma" .....
Kondom za kawaida husababisha muwasho utakaoweza kukusababishia maambukizo mengine yatokanayo na wadudu asilia walioko sehemu hiyo ya haja kubwa......
3.Mara mishipa ya makalioni ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.
EPUKA KUJIZIBA MATAMBARA....UTU WAKO NI BORA KULIKO HIYO STAREHE YA DAKIKA CHACHE