Hatimaye
baada ya ukimya mrefu kuhusu urafiki wao, leo hii Snura ameamua
kufunguka, na kukumbuka fadhila na ukarimu wa Wema kwake kipindi cha
nyuma na hasa alipotoka mara ya kwanza kabisa kimuziki. Kupitia ukurasa
wake wa Instagram mwimbaji huyo wa NIMEVURUGWA ame andika kifuatacho:Hakuna kitu kizuri kama kushukuru na kukukumbuka fadhila no matter what. Well done Snura.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.