Tanzania kwa mara nyingine tena tunawaleta kwenu 'P SQUARE'…."Together Tunawakilisha" — East Africa TV (@eastafricatv) October 4, 2013Na baadaye kupitia ukurasa wao wa facebook wakaweka msisitizo: “TUTAELEWANA TU MWAKA HUU AU SIO?!! EHHH!!
Sikia hii sasa!! Tanzania kwa mara nyingine tena tunawaleta kwenu ‘P SQUARE’.
Jipange kucheza na PERSONALLY, ALINGO, CHOP MY MONEY na nyingine kibaooooo!!
NOVEMBA patakuwa HAPATOSHII!! JIPANGEEEE !!!!!!!!!”
CREDIT: BONGO5