Nyumba ya Kenya ambayo Samantha anadaiwa alikuwa akiishi
Watoto wake wadogo, Abdur-Rahman mwenye miaka mitano na Surajah, 3, ni watoto wa gaidi aliyezaliwa London, Habib Saleh Ghani. Lewthwaite anatuhumiwa kupanga mashambulio kwenye maeneo ya Kenya yenye watalii wengi.