Like Us On Facebook

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE MAZISHI YA MSANII MAC2B WA WATEULE/MACMALICK/SIMBA.





 Moja ya wasanii ambae walikuwa pamoja kwenye kundi la Wateule...Mchizi Mox

                           Kaburi ambalo msanii MacMalick alizikwa jana hukoYombo kwa Abiola.
 Msanii huyo MacMalick alifariki juzi kutokana na miguu kujaa maji.Kwa mujibu wa familia yake msanii huyo hajaacha mke wala mtoto.Baadhi ya wasanii na maproduza waliofanya nae kazi kama Lamar wa Fishcrab,Mchizi Mox,Daz Baba na Enrico wa Sound Crafters walikuwepo kwenye mazishi hayo
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari