Justin
Bieber amepigwa picha akibusu ziwa la binti anayesemekana kuwa ni
stripper na picha hii imeonyesha sura ya kijana mwingine anayejulikana
kama Khalil Sharieff ambaye ni rafiki wa karibu wa Justin Bieber.
Binti huyu mburudishaji wa vijana kwenye shughuli zao inasemekana
alipewa kazi hio maalum kwa ajili ya pati ya Justin na marafiki zake
huko L.A na wakati wa sherehe hio Justin hakutaka kukosa nafasi ya kujua
utamu wa ziwa la binti huyo anayesemekana kuwa na umri mkubwa zaidi ya
Bieber