1.corner bar...hii bar ipo sinza ndiyo bar inayoongoza kuwa na wateja wengi...kuanzia vijana
2.jolly bar...hii ipo upanga amabayo watu wengi wenye pesa
3.bamboo bar..hii bar ipo kinondoni makaburini......
4.sewa bar....hii bar ipo buguruni sokoni..ambayo hufunguliwa kuanzia saa moja asubuhi....
5.kisuma bar.....hii ipo temeke mwembeyanga.....
6.kimboka bar....hii ipo buguruni chama......
6.rose garden.....hii ipo mikocheni.....
8.sugar ray.....hii ipo temeke kwa sokota.....
9.lambo bar.....ipo manzese chama.....
10.ddc bar....hii ipo kariakoo mtaa wa kongo
swali jee nini kinafanya bar hizi kuwa na mvuto wa wateja wengi....