Ilikuwa
siku ya kawaida kama siku zingine msichana wa miaka 18 aliyejulikana
kwa jina Chekwube Mbaka alitumwa sokoni kununua mahitaji ya chakula cha
jioni katika mtaa mmoja huko Naigeria....lakini njiani alikutana na
vijana wanane ambao walimbaka wote mpaka kupoteza maisha yake ....Polisi
wamewashikilia vijana wawili kwa kutuhumiwa kuhusika na tukio hilo
....inasemekana vijana hao ni watengeneza majeneza wa eneo hilo.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.