Ndege iliyokuwa imebeba mwili wa
marehemu ambaye alikuwa gavana wa Nigeria, imepata ajali na baadhi ya
abiria kufariki na wengine kukimbizwa hospitali. Baadhi ya abiria hao
walikuwa wanasindikiza mwili huo kwa ajili ya maziko lakini safari
iliingia hitirafu.Ajali hiyo ilitokea baada ya injini kufeli ndege ikiwa
hewani muda mfupi baada ya kupaa kwenye airport moja huko Nigeria.
Ndege ilikuwa na watu 20 na watu watano ndiyo wamejeruhiwa na kukimbizwa
hospitali
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.