Pichani
juu ni taswira mbalimbali za muonekano mpya wa Video Queen wa Bongo,
Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ambaye kwa sasa yupo uraiani baada ya
kufutiwa mashitaka yaliyokuwa yakimkabili ya kukamatwa na madawa ya
kulevya aina ya crystal methamphetamine yenye thamani ya shilingi
bilioni 6.8, Julai 5, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Oliver Tambo jijini Johannesburg, Afrika Kusini.