Hakika hakuna atakae Bisha kuwa
Mwanamuziki Diamond ni mfano mzuri wa kuigwa jinsi anavyompenda Mama
yake Mzazi anafikia mpaka kwenye Show zake anaenda nae ..leo Amepost
Haya Maneno na Picha katika Website Yake:
"The most beautiful and lovable word in any language is ‘mother’
Mom is the portrait of love, care, affection and sacrifice
for her children. She is the most important
woman in everybody’s life, the place that a mom holds can
never ever be taken over
by anyone else,NAKUPENDA SANA MAMA YANGU
KIPENZI,DAIMA UKO NA MIMI" Diamond