Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es Salaam Mbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwi Dada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi. Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwi Dada akilia baada ya kuokolewa.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.