Aunt Ezekiel akiwa nje ya msikiti.
Chanzo kilichopo Dubai kimeeleza kuwa, Aunt aliondoka nchini wiki
mbili zilizopita kwenda nchini humo kumtembelea mume wake, Sunday
Demonte ndipo alipoamua kwenda katika msikiti huo lakini alionekana
mwenye mawazo sana.“Nilimuona akiwa ni mtu ambaye alikuwa hana furaha kabisa na mara baada ya kutoka msikitini hapo, dada mmoja ambaye alikuwa naye alikuwa akimpiga picha mbalimbali nje ya msikiti huo,” kilisema chanzo.