Like Us On Facebook

APPLE SASA NI BIDHAA BORA DUNIANI ..YAIPIGA CHINI COCA COLA

               Kwa miaka mingi Coca cola imekuwa ni bidhaa namba moja yenye ubora wa kimataifa lakini mwaka huu Bidhaa Apple ikiwemo simu za Iphone imechukua namba moja kwa kuwa ni bidhaa bora Duniani...Namba mbili imechukuliwa na Google kwa bidhaa zake mbali mbali...Namba tatu ndio imechukua Coca Cola


From New York Times 
Apple is the new most valuable brand in the world, according to a closely followed annual report. The report, to be released next Monday, is from Interbrand, a corporate identity and brand consulting company owned by the Omnicom Group that has been compiling what it calls the Best Global Brands report since 2000. The previous No. 1 brand, Coca-Cola, fell to No. 3.
Not only has Apple replaced Coca-Cola as first among the 100 most valuable brands based on criteria that include financial performance, this is the first time that the soft drink known for slogans like “It’s the real thing” has not been No. 1.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari