kijana anayetuhumiwa kumteka na kufanyia mauwaji dereva Boda boda Edga Lalika akiwa amezimia baada ya kupewa kichapo na madereva boda boda eneo la Stendi kuu ya mkoa wa Iringa baada ya kukamatwa eneo la Mwangata
Mwili wa marehemu Edga Lalika anayedaiwa kuuawa na mtuhumiwa huyo juu aliyekamatwa .
Askari polisi mjini Iringa wakimuokoa mtuhumiwa
Hapa akiingizwa katika gari la polisi kunusuru kuuawa kwa kuchomwa moto
Wananchi wakishuhudia tukio hilo leo
Gari la polisi ambalo limembeba mtuhumiwa wa mauaji ya dereva boda boda
Msafara wa madereva boda boda wakilifukuza gari la polisi kwa nyuma