Like Us On Facebook

27 WAUAWA, 350 WAKIJERUHIWA KATIKA MILIPUKO NCHINI LEBANON

 Wananchi wakiwa wamekusanyika eneo la mlipuko nje ya msikiti wa Sunni uliopo jijini Tripoli, Lebanon.

 
                              Wananchi wakiangalia uhalibifu uliotokea baada ya mlipuko.
                                       Magari yaliyohabiriwa katika mlipuko huo.
Mwananchi huyu akchukua picha katika simu yake ya mkononi.
MILIPUKO mikubwa miwili imetokea leo nje ya misikiti katika jiji la Tripoli lililopo Kaskazini mwa Lebanon jirani na Syria. Katika milipuko hiyo, watu 27 wanadaiwa kupoteza maisha, wakati 350 wakijeruhiwa. Milipuko hii imeongeza mvutano nchini Lebanon ikiwa ni matokeo ya vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea nchini Syria kati ya wafuasi na wapinzani wa utawala wa Rais wa Syria, Bashar Assa
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari