MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la
Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana
kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’,
Huddah Menroe kwenye ishu ya kupiga picha za utupu.
Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’.
Hamisa ambaye hivi karibuni alipata zali
ya kupamba jarida moja la burudani nchini Kenya kwa picha iliyo
kinyume na maadili, anadaiwa kupiga picha nyingi za kihasara huku
ikielezwa kuwa, kwa Kenya sasa anachuana na Huddah.
Huddah Menroe.
“Unajua kwa huku Kenya Huddah anasifika
kwa picha chafu, sasa hizi alizopiga Hamisa zimemfanya Huddah naye
kutupia yake nyingine ya utupu, yaani ni kama wanachuana vile,” alisema
mmoja wa wadau wa burudani aliyejitambulisha kwa jina la Japhet.
Hamisa.
Huddah.