Like Us On Facebook

OMBA OMBA AJIPAKA MAVI ILI KUWATISHA WATU WAMPE PESA MAENEO YA KARIAKOO




Omba  omba  mmoja  amejikuta  akiguka  sinema  ya  bure  baada  ya  kujipaka  mavi  mwilini  na  mengine  kuweka  mfukoni  ili  kuwashawishi  watu  wamsaidie  kwa  chochote...
 
             Matarajio  yake  yalienda  kinyume  na  fikra  zake  baada  ya  wananchi  kumzingira  na  kutaka  kumpa  kichapo  kwa  kuchafua  hali  ya  hewa  kwa  harufu  ya kinyesi  chake
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari