Like Us On Facebook
Showing posts with label Wasanii wa Mbele. Show all posts
Showing posts with label Wasanii wa Mbele. Show all posts

HABARI PICHA...!HUYU NDO DEMU MPYA WA D’Banj, HAPO KABLA aliwahi kuwa na Sean Kingston pia...!

Naona siku hizi habari nyingi ambazo mastaa hutaka ziwe siri, zinavuja kirahisi pale wanapokwenda kujirusha sehemu sehemu au wakati mwingine ushahidi watu wanautengenezea kutoka kwenye mitandao ya kijamii kama huu wa Instagram ambao ni maalum kwa kupost picha mbalimbali.
Baada ya utangulizi huo basi, naomba kukupa moja ya taarifa kubwa kwenye mitandao ya Nigeria kwamba mwimbaji D’Banj ameripotiwa kwamba yuko mapenzini na mrembo Yaris Sanchez raia wa Dominican Republic, nchi yenye watu zaidi ya milioni 10 kwa mujibu wa takwimu za WB 2012. 
Unaambiwa Mnigeria D’Banj na Yaris walichukua ndege private mpaka sehemu inaitwa Asaba huko Nigeria kwa ajili ya kwenda kula bata ambapo mrembo huyo aliamua kupost pichaz akiwa kwenye hizo bata za Nigeria.
Mpaka sasa, mrembo huyu ambae ni mama wa mtoto mmoja ameshatajwa kwenye headlines za kuwa mapenzini na mastaa wa dunia kama Fabolous, Sean Kingston, Lloyd Banks, Joe Budden na Bobby Valentino.
Hizi picha mbili za juu ni wakati Yaris alipokua Nigeria.
Yaris na rapper Joe Budden wakati wa mapenzi yao..

Kanye West na Kim Kardashian wajiachia Uchi katika video yao mpya ya Bound 2


Kanye West ametoa  video yake  ya   Bound 2 kwa mara ya kwanza alivyoenda kwenye show ya Ellen ambapo video model wa video hiyo ni Kim Kardashian na kama unakumbuka zilitoka story kwamba Kim amefanya hiyo video akiwa Uchi  wa  mnyama  na kuongeza hamu ya watu wengi kuisubiiri..

Ili  kuyaona  mapicha  hayo  pamoja  na  video  hiyo, bofya  hapo  chini


Bofya  hapo  juu  uone  Kim  alivyojitosa   uchi   kuifanya  video  ya  mumewe  iuzike

DIAMOND AHUDHURIA HARUSI YA P-SQUARE ANGALIA PICHA HAPA


 Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond

 
 Emanuel Adebayo & Diamond


 
 Diamond & Iyanya


 
 Peter & Emanuel Adebayo

PICHA ZA MISS BOOTY KENYA (VERA SIDIKA) KABLA NA BAADA YA KUWA NA MAKALIO NA HIPS KUBWA-UWEZI AMINI

Baada

Uwezi Amani Huyu ndio Mdada Vera Sidika Kabla hajawa Maarufu na kujulikana kwa ajili ya umbo laki la makalio makubwa na Hipsi za kufa mtu ...Angalia picha zingine hapa chini alafu uniambie alipata wapi hiyo Shape?



HATIMAYE PETER OKEYO WA P-SQUARE AFUNGA NDOA-HII NDIO PICHA YA KWANZA KUTOKA KATIKA HARUSI HIYO

Baada ya mahusiano yao kuongelewa sana Kwenye Mitandao hatimaye Peter Okoye wa P-Square Amefunga ndoa na mchumba wake wa muda Mrefu anayejulikana  kwa jina la Lola....Congrats Bro.....

SK BOYS WATUKANWA KWA KUTUMIA VIBAYA MELODY NA BEAT YA SINGLE YA P SQUARE'personally' KUTENGENEZA VIDEO YA NUSU UCHI


 
Ni video ya wimbo ambao wametumia melody na beat ya single ya P Square ‘Personally’ na kuiweka October 26 2013, watu wengi waliyoiona hasa ukitazama mitandao ya kijamii kama facebook na twitter, maoni mengi yameiponda hii video na wimbo wenyewe ambao waamini umevuka maadili ya Kiafrika na kisanii pia wamevuka mipaka.
 
Sehemu ya waliotoa maoni wanalalamikia udhalilishwaji wa Wanawake na wengine wanalalamikia sehemu ya mashairi pamoja na vingine vinavyoonekana kwenye video.

HII KALI.....DAMU ZAANZA KUMTOKA SEHEMU NYETI MSANII MAARUFU WA KIKE WAKATI AKIWA STEJINI ANATUMBUIZA

Hizi zinaweza kuwa nyakati mbaya kwa Msanii Cindy wa blue three  baada ya kuwashtua mashabiki wake akiwa anapiga show
live kwa stage huku ikionekana damu zikimtoka sehemu nyeti…Picha nyingine iko hapa…


 
picha kutoka:redpepper

Africanewspost

HII NI AIBU...!! CHRISS BROWN AAMUA KUONYESHA UKUBWA UUME WAKE HADHARANI... MTAZAME HAPA..

   
Chris Brown amejikuta  katika  wakati  mgumu  baada  ya  picha  yake  ya  utupu  kuvuja  mtandaoni.... 

Picha  hiyo  ambayo  mtandao  huu  umeinasa  ikizubaa  mitandaoni  inamwanika  msanii  huyu  ambaye  ni  X  wa  Rihanna  akichezea  simu  huku  MAMBO  yake  ikiwa  nje. 

Bofya  hapo  chini  kuiona

HATIMAE MSHIRIKI WA BBA (NIGERIA) BEVERLY AKUBALI KUWAHI KUFANYA MAPENZI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER




Mara ya kwanza alipotoka katika shindano la BBA 2013, Beverly Osu, aliwashangaza watu baada ya kukataa kuwa hajafanya mapenzi na mshiriki kutoka SA, Angelo, licha ya kuwa karibu kila mtu aliona video ambayo ilisambaa kila kona.
Kwahivi sasa anatengeneza wimbo wake, na alipoulizwa kuhusu video hiyo hiki ndicho alichokisema:


"sijiskii vibaya kwasababu i was being my self. kwahiyo siwezi kuomba msamaha kwa mtu yoyote anaehisi nilimuangusha. Wanaishi maisha yao nami naishi maisha yangu. Tofauti ni kuwa nilikuwa ndani ya lile jumba kuhakikisha mambo yangu yanenda sawa, mambo ambayo kila mmoja alikuwa akiyafurahia nikiyafanya. Kama mlikaa kwenye TV zeni kwa siku 91 ili tu kuona makosa yangu inabidi mjiangalie wenyewe kwasababu watu wana makosa yao na ni watu wenye makosa tu ndio wenye kugundua haraka makosa ya mtu mwingine. Sikosoi watu na sidhani kama watu wanatakiwa kunikosoa mimi, vyovyote utakavyoichukulia mimi bado ni kijana"

PICHA ZA LADY GAGA ALIPOTUMBUIZA AKIWA UCHI MBELE YA UMATI WA WATU.

Lady Gaga anasifika kwa vituko vya mara kwa mara vinavyomfanya awe controversial sana, and this time around ameamua kufanya onesho akiwa uchi wa mnyama!..ndio nimesema uchi wa mnyama katika show ya G-A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita.
gaga-1
Gaga (27) alipanda jukwaani akiwa amevalia vazi linalomfunika hadi miguu lakini wakati akiendelea kuperform ghafla akaanza kusaula taratibu kutokea juu hatimaye kulishusha vazi lote na kubaki mtupu.

<<PICHA YA 1>>

<<PICHA YA 2>>

<<PICHA YA 3>>

<<PICHA YA 4>>   


MOHOMBI,DAVIDO,NAY WA MITEGO NA DIAMOND KUPIGA SHOW YA BURE LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KUANZIA SAA TISA ALASIRI

Kutokana na kutokea hitilafu ya umeme Alfajiri ya leo kwenye show ya Serengeti Fiesta Dar, iliyopelekea baadhi ya wasanii waliokuwa wakitarajia kupanda jukwaani kutumbuiza akiwemo Davido, Mohombi, Diamond, Nay wa Mitego na wengine kushindwa kupanda, leo kuanzia saa tisa, wasanii hao watapanda tena jukwaani kuzikonga nyoyo za mashabiki wao bila kiingilio chochote.
 
Ni katika uwanja ule ule, jukwaa lile lile la Serengeti Fiesta Dar es Salaam ambapo Diamond,Davido,Mohombi pamoja na Nay wa Mitego watapanda kuanzia saa 9 jioni mpaka saa 12.Show hiyo ya bure itapambwa pia na bendi ya Twanga Pepeta.

JUSTIN BEIBER AKUMBWA NA SKENDO YA KWENDA CLUB ZA WACHEZA UCHI

Mastaa wengi wa dunia wamewahi kuonekana kwenye matukio ya kuwa karibu na stripper ambapo miongoni mwao ni Ne-yo ambae hiki kitendo kiliwahi kumpa lawama nyingi na sio pongezi, hii ni kutokana na picha waliyokua nayo mashabiki juu yake kwamba ni miongoni mwa mastaa wastaarabu wasiotaka sifa ambao huwezi kuwaona wakichezea hela na kuzirusha kwenye mwili wa stripper.

Udogo wake ulifanya mapokezi ya kipaji chake yawe makubwa zaidi… Justine Bieber staa ambae taswira yake kwa watu wengi ilibaki kwamba ni mtoto ambapo fans wake wengi wanatajwa kuwa wa kike na kwa asilimia kubwa ni mabinti wadogo kiumri.

Toka kipindi ameanza kuwa staa, Mcanada huyu mwenye umri wa miaka 19 matukio yake hayakua yenye utofauti sana na picha ambayo wengi walikua nayo kichwani kuhusu yeye akiwa ni staa mdogo anaejua kuvaa kisasa lakini bila kuvuka mipaka na kutoonekana kama mastaa wengine waliolewa sifa.. ila kwa sasa baadhi ya vyombo vya habari vimekua vikimuonyesha na hata kuripoti stori zake za misukosuko ikiwemo kutukana waandishi wa habari na kutaka kuwapiga.


Kwenye tukio ambalo limefanya hii post iwepo hapa ni kuhusu yeye kuonekana kwenye moja kati ya club za usiku ambazo sehemu kubwa ya vinavyopatikana ndani ni pamoja na kina dada maalum kucheza wakiwa na nguo chache au wakati mwingine kutoaa kabisa. (Texas strip club)
Kilichofanya mpaka Bieber aandikwe na TMZ ni pale picha yake ilipopatikana akiwa Texas Strip Club kifua wazi na pia suruali ikiwa chini kabisa na kufanya boxer yake kuonekana kwa sehemu kubwa, aina ya mavazi ambayo hakuwahi kuonekana nayo kipindi hicho.

Mmoja wa hao warembo wanaocheza bila nguo aliandika kwenye page yake ya twitter kwamba ‘Bieber aliyagusa makalio yangu, nimewahi kuwachezea mastaa wengi lakini hakuna hata mmoja amewahi kunigusa makalio kama alivyofanya Bieber, alinishtua sana’

KANYE WEST ALAUMIWA kwa KUMUIGIZA YESU STEJINI, JIONEE VIDEO

jesus-kanye-west-2013-10-20-300x300
Kanye West alianza show yake vizuri kabisa ila ilipofika wakati wa kuimba wimbo wake kutika kwenye album ya College Dropout inayoitwa Jesus Walks alitokea mtu aliye vaa kama Yesu  na Kanye West ambaye alikuwa na msaidizi wake wa kike kwenye kuimba wali inama na mbele ya Mtu Huyu na ndio wimbo ukaanza wa Jesus Walks
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
 

MFAHAMU MWANAMUZIKI MAARUFU WA ANGOLA AMBAYE ALIJIBADILISHA JINSIA NA KUWA MWANAMKE

Mwanamke huyu  kwa jina akijulikana kama Titica, amekuwa ni gumzo kubwa nchini Angola. Siku chache zilizopita UNAIDS ilimpa heshima mwanamke huyu aliyejibadili jinsia kuwa Balozi wake.

Alizaliwa Luanda kama Teca Miguel Garcia, akiwa muimbaji na mchezaji, Titica alibadili 
maumbile yake miaka minne iliyopita mara baaada kufanya upasuaji wa maziwa 
nchini Brazil.Sasa, akiwa na miaka 26, Titica amekuwa kioo cha Angola kwa aina ya muziki anaoufanya wenye mchanganyiko wa miondoko ya rap na techno unaojulikana kama “kuduro”.

Akiongea na BBC mwaka jana, akiwa kwenye kwenye utengenezwaji wa video ya wimbo wake unaotamba sasa uitwao Olha o Boneco, wimbo ambao amemshirikisha muimbaji mashuhuri wa muziki aina ya kizomba aitwaye Ary, Titica alisema amefanikiwa kukabiliana na vikwazo vyake.

“Shukrani kwa Mungu, nina furaha sana, imechukua muda kufika hapa na imehusisha mambo mengi ya kujitolea ila asante Mungu, kila kitu kinakwenda sawa kwangu. Nilikuwa nikipigwa mawe, nimekuwa nikipigwa na kumekuwa na vikwazo vingi vya kisheria dhidi yangu, watu wengi walionyesha hilo. Kuna miiko 
mingi sana,”.

Licha ya miiko hiyo, bado Titica anaonekana kuwa hana upungufu wa mashabiki huku wengi wakiwa wanavutiwa zaidi na muziki wake kuliko jinsia yake.

Picha za UCHI za Kim Kardashian zamkwaza Mumewe ( Kanye West)

 
          TV star Kim Kardashian ambae ni baby mama wa rapper Kanye West ameingia tena kwenye headlines baada ya picha zake kusambaa akiwa ameziba tu sehemu ndogo ya mwili wake huku akiweka msisitizo kwenye instagram kwamba #Nofilter yani hajaongeza mbwembwe zozote za kiteknolojia kwenye muonekano wa picha.
 
Kanye West alipoiona hiyo post aliiRETWEET na kuandika ‘naelekea home now’ ambapo kwa fans walioziona picha hizi kila mmoja kaandika la kwake ila amepata lawama nyingi za kushindwa kujiheshimu na kutambua kwamba yeye ni Mama wa mtoto mmoja sasa hivi.

<<PICHA  YA  KWANZA >>

<< PICHA  YA  PILI >> 

Bofya  hapo  juu  kujionea  picha  hizo

Miley Cyrus apewa ofa ya dola milioni MOJA kuongoza filamu ya ngono


               Muimbaji na muigizaji wa Marekani, Miley Cyrus ametangaziwa dau la dola milioni 1 kuongoza (direct) filamu ya  ngono.
 
Kwa mujibu wa TMZ, watengenezaji wa filamu hiyo wapo radhi kumpa kiasi hicho kama akifanya kazi hiyo ya nyuma ya kamera.
 
Barua kutoka kwenye kampuni imeeleza kuwa Miley atapewa uhuru wa kufanya lolote la ubunifu kufanikisha filamu hiyo.

“This gives you a chance to show the world you are not a little girl anymore, and you won’t bow to pressures of the likes of Sinead O’Connor, who is jealous of your success,” barua hiyo ilisema.
 
Cyrus ametawala vichwa vya habari duniani tangu alivyotumbuiza kwenye tuzo MTV VMA na kuonekana mtupu kwenye video ya ‘Wrecking Ball’.

HAWA NDIO WASANII 10 WANAODAIWA KUA WAMEATHIRIKA KWA UGONJWA WA UKIMWI, SOMA HAPA



               Ugonjwa wa Ukimwi sio ugonjwa wa kuubweteka na umechukua Maisha ya watu wengi wenye mafanikio..
Hawa ndio Marapa kumi wanaosadikika /kuhisiwa kua na ugonjwa hatari wa Ukimwi...

Kutoka Mtandao mmoja wa Africanewspost.com ya nchin KENYA imedai kua hawa ndio wasanii wanaodaiwa kuwa na ukimwi..

1. Gucci Mane
Gucci claims he smashed Tyga’s wife Blac Chyna. Tyga claps back and claims Gucci has HIV…which would mean….yea. Clearly Tyga didn’t think that tweet through and it soon vanished from his Twitter page.

2. Wiz Khalifa
Before he was happily-married to thicky thick snow bunny Amber Rose, he was reportedly smashing attention-thirsty groupies and spreading HIV. Yikes.

3. Cassidy
The once relevant Philly rapper was accused of infecting a groupie with HIV after numerous encounters in seedy NJ hotels. He laughed off these claims via Twitter.

4. Shawty Lo
The fertile rapper currently suffers from Diabetes but was embroiled in nasty AIDS rumors fueled by his, uh, reckless bed-hopping + condom-allergies.

5. Slim Thug
According to anonymous sources, Thugga was smashing filthy groupies across Texas and spreading the monster. He eventually denied these rumors years later.

6. Vybz Kartel
The dark-skinned Dancehall artist-turned-light-skinned Dancehall artist was caught up in HIV rumors based on groupie claims. He denied them.

7. Nicki Minaj
There’s nothing funny about an HIV internet hoax but it happened to Nicki via fake press release and escalated quickly. After a few hours, there were thousands of #PrayForNicki tweets from her obsessive Barbz.

8. Trick Daddy
Ricky Ross alleged that the beloved Miami rapper has AIDS, not Lupus on “Valley of Death” (“Deeper Than Rap”) and faced backlash for being messy. Trick fired back and denied the allegations but Rawse stood by his lyrics based on inside info he received.

9. Trina
HIV rumors have haunted the freak nasty rapstress her entire career and probably won’t die.

10. Mike Jones
Mike…Jones? WHO? Yea, that Mike Jones lost over 100 pounds after falling off and rumors swirled that he had “the package.”

Source: Africanewspost.com

JOSE CHAMELEON AACHIA NGOMA NYINGINE KALI ISIKILIZE HAPA NA UNAWEZA KUIDOWNLOAD

 
            Jose Chameleone ni msanii ambaye anayetumia mara nyingi lugha ya kiganda na kiswahili kwenye kuimba nyimbo zake. 

Kuimba kwa lugha ya kiswahili ni moja sababu zinazompa fan base kubwa nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla. 

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Jose ambao pia ametumia lugha ya kiswahili.


 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari