STAA wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ameibua maswali midomoni mwa watu kwa kusema kwenye maisha yake hafikirii kuacha kunywa pombe hadi atakapoingia kaburini.
Akizungumza na GPLJumatatu iliyopita, Koleta alisema pombe imekuwa tulizo kamili la moyo wake uliojaa majeraha ya mapenzi na kwamba humuondoa katika hamu ya tendo la ndoa.
“Mtu akitaka kukorofishana na mimi anishauri kuacha pombe, siwezi na nitakunywa hadi siku naingia kaburini. Pombe inanifariji, inaondoa hamu ya mapenzi,( kwa kujichua ) ” alisema Koleta.