VIDEO
Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia juu kundi
kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema kuwa ana
mtu wake.
Akipiga
stori na paparazi wetu hivi karibuni, Masogange alisema tangu atoke
Sauz aliponaswa kwa msala wa kusafirisha malighafi haramu, wanaume
wakware wamekuwa wakimsaka kama fisi aliyeona mfupa kitu ambacho
hakubaliani nacho.