Like Us On Facebook

"SIJUTII KUMVULIA MR. BLUE CH*PI NA KUNITOA BIKRA YANGU KWANI ALIKUWA NI MSTAARAB SANA" NAJ

 
Mwanamuziki Naj ambae kwa sasa anaishi Uingereza ameelezea story nzima ya mahusiano kati yake na mr. Blue yaliyodumu kwa muda kidogo kabla ya kuchana mwaka jana mwanzoni. Naj anasema Blue ndo alikua boy wake wa kwanza na ndo aliyemtoa bikra.

Naj anafunguka kwamba hakua anajua kama kipindi yuko na Kabaiser kwamba alikua na mademu wengine   wawili. Anasema Blue alikua mpole kwake na mstaarabu na wala hajutii kukutana nae maishani na kumfanya awe mwanamme wa kwanza kumvulia chu.....


Naj ambae kwa sasa yupo masomoni uingereza alisema mahusiano yao yalikua magumu kutokana na umbali waliokua nao na mambo flan ambayo alisema ni ya kiprivate na hawez kuyaweka hadharani
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari