
Rafiki yangu alinifundisha kujichua ( kupiga pul) , sasa nimeathirika na tatizo hilo nikiwa na umri wa miaka 20 tu.
Nimeshafanya tendo hilo kwa muda mrefu.Kwa siku huwa napiga tatu mpaka 4 kiasi kwamba haata viungo vyangu vimechubuka.
Nataka kuachana na tatizo hili. Naomba mnisaidie ikiwa kuna dawa ya kupambana na tatizo hilo maana nimechoka na sihitaji kabisa kuendelea na tabia hiyo.