MSANII wa
kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki
dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza leo
jioni! Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.