James Kinyambe mchekeshaji mahiri Bongo.
Msanii
aliyejichukulia umaarufu mkubwa kutokana na stairi yake ya uigizaji
imesemekana ilikuwa alawitiwe endapo angenasa mtego huo wa fumanizi
lakini kwa bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda.
Habari za uhakika zilizofanywa na webesite hii baada ya wiki iliyopita kuzuka habari za kufuamaniwa kwa msanii huyo aliyefahamika kwa jina la Kinyambe.
.
Habari za uhakika zilizofanywa na webesite hii baada ya wiki iliyopita kuzuka habari za kufuamaniwa kwa msanii huyo aliyefahamika kwa jina la Kinyambe.
.
Paparazi
wetu ambae alifika eneo la Kawe ambako ndiko inakodaiwa msanii huyo
alifumaniwa wakiongea kwa sharti ya kutotajwa majina yao walisema" Huyu
jamaa Mungu alikuwa upande wake kwani huyo jamaa mwenye mke alikuwa
ameshaandaa mabaunsa kwa ajili ya kumlawiti msanii huyo lakini kwa
bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda" Alisema mama mmoja ambae aliongeza
kusema mabaunsa hao walikuwa wanne.Mwandishi wetu alimtafuta Kinyambe
kupitia simu yake ya mkononi aliendelea kusisitiza kuwa hakufumaniwa na
wala hajawahi kufumaniwa huo ni mpango wa kumchafua.
chanzo:xdjayz