Kusema ukweli kila msichana huwa anakuwa na taste yake mwenyewe kwa
vitu avipendavyo,na kwa class ya aina yake mwenyewe hivyo kuna vitu
vidogo vidogo tu ambavyo mara nyingi mtu akifanyiwa humfanya aweze
kufurahi kinoma,moja ya vitu ni kama zawadi tu ndogo ndogo tu kuonyesha
kwa mba mtu anakumbukwa kila mara,to a lady hiyo is a plus na kufanya
kama ni mahusiano yaweze kudumu,cause hiyo ni moja ya njia ya kuonyesha
kuwa unamjali babe wako.
Perfume ni moja ya ugonjwa mkubwa sana wa Wema,tena siyo perfume tu
za kawaida ila zile expensive original ones zenye brand ya kimataifa,kwa
mtu anayefuatilia sana mambo haya ya perfume,utagundua kwamba wadada
wengi hutumia perfume zaidi ya moja katika siku,na kwa wiki anaweza
asirudie perfume aliyoitumia jana au juzi yake,kutokana na mapendekezo
ya mtu,ila kwa Diva huyu wa Bongo she is addicted to perfume.
Diamond nae si kipofu kujua nini babe wake akipendacho and he knows
how to spend some few dollas on her na kuzidi kumchanganya zaidi na
zawadi za hapa na pale pale anapotoka tu nje kidogo ya bongo kuweza
kutoa surprize,its everygirl dream kupata zawadi za hapa na pale bila
kutegemea ,siyo lazima zile kubwa za kuweza kukufanya uingie cost
kiviile ila some times ndogo ndogo tu kama perfumes huwa ni moja ya
zawadi tosha sana,na ni moja kati ya vitu avifanyavyo kwa babe wake huyu
wa mda mrefu.
Hii inaonyesha kuwa this time around hawako ready ku-mess things
up,this time its going to be a litle different,hii ni moja ya star
couple ambayo mbali na kupitia misukosuko ya hapa na pale ikiwemo
kuachana na kurudiana,ila wawili hao inaonekana hakuna kinachoweza kuja
kati yao na kuweza kuwatenganisha,they stil prove a point kwa wale waits
the most famous celeb couple of all time.