AMA kweli pombe siyo chai. Timbwili la aina yake liliibuka ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Mwananyamala jijini Dar hivi karibuni baada ya dada mmoja kuanzisha kasheshe alipomkuta mpenzi wake akiwa amekaa kimahaba na demu mwingine.
...Twende nje.
Hata hivyo, timbwili hilo halikudumu kwa muda mrefu kwani walinzi
wakiwemo mabaunsa walifanya kazi ya ziada kumtoa dada huyo ukumbini hapo
huku akiwa hana viatu.