Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na
Maendeleo(CHADEMA),Dr.Wilbroad Slaa amesema serikali nzima na Baraza la
Mawaziri linapaswa kujiuzulu na kwamba kitendo cha kujiuzuru kwa
mawaziri wanne tu hakitoshi na badala yake amesema Pinda kama "kiranja"
mkuu anapaswa kuwajibika.
Dr.Slaa ametoa kauli hiyo wakati akihutubia mkutano wa hadhara huko mkoani Tabora.
CHANZO:ITV
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.