Hili ni Banda linaloendelea kujengwa
katika eneo la makazi ya Hayati Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi
ya shughuli za maziko yanayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii,
ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa makubwa, kutoka pande zote za
dunia wanatarajia kuhudhuria maziko hayo
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.