
Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame
mwenye mtoto anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya
kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila
mmoja.
Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kila siku
KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari