MENENGUAJI
wa kundi la Mavampaya lenye maskani yake jijini Dar es salaama
Bi.Queens Michael 'Mama Tentemente' ambaye ni mke wa mtu mwishoni mwa
wiki iliyopita alimwaga radhi mwanzo mwisho ndani ya ukumbi wa DDC ulipo
pande za Nunge
Mke wa Mtu Queens Michael' Mama Tentemente' akiwajibika jukwaani
Mwanamke
huyo aliyekiri mbele ya Mnyetishaji wetu kwamba ni mke wa mtu na kwamba
mumewe amebariki kufanya kazi hiyo,alimwaga radhi hiyo mbele ya watu
walika mbali mbali waliokumo kwenye ukumbi huyo siku ya ljumaa iliyopita
akiwa sambamba na kundi hilo linaloongozwa na mwimbaji wa nyimbo za
Pwani Omary Tego.
Mama
Tentemente ambaye alimwaga radhi hiyo huku akiwa amevaa mtandani
mwepesi ulioroweshwa maji huku ndani akiwa mtupu alimwaga radhi hiyo kwa
kushirikiana ma mwenzake aliyefahamika kwa jina la Vaileth Faya 'Queens
Vai ambaye alimwaga radhi zaidi ya Tentemente picha za Queen Vai
zitawajia hivi Punde endelea kutembelea mtandao
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.