Like Us On Facebook

"HAKIKA NITASUBIRI KUTOLEWA BIKIRA SIKU YA HARUSI YANGU"....MDAU

Mimi ni Msichana wa Miaka 26 ..uwezi amini mpaka sasa sijawahi guswa na Mwanaume hata mmoja kwa maana hiyo nipo Bikira Kabisa...Mimi ni Mwalimu wa Shule ya Msingi moja hapa Dar ..Wenzangu nikiwaambia hawaamini kabisa kuwa mpaka umri huu nipo Kigoli wengine wanasema eti nina matatizo..
NAPENDA KUSEMA HAYA

"With the influence of sex almost everywhere in the world of today I will still remain a virgin until my wedding night. It is the only respect I can reward my body. And this way I cannot worry about sexual transmitted diseases and unwanted pregnancies.


I believe that I am not abnormal as others may think. I am physically and mentally fit. I am just keeping myself clean."

Jesca


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari