Sisi ni majirani tumetokea kuzoeana tu
kidogo kwakuwa mwenzangu yeye ni mwenyeji mimi nimemkuta tu hapo
nilivyo hamia, lakini naona kama kuna mazoea fulani ya ajabu, hii ni
mara ya tatu huyu dada ananiomba nimpige picha tena akiwa amevaa kiajabu
ajabu, siku nyingine anadiriki hata kunigongea chumbani kwangu ili
nitoke tu nimpige picha halafu aendelee na shughuli zake. sasa imekuwa
kero Simuelewe kabisaaaa.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.