Afande aliyekuwa akilinda Benki ya NMB iliyopo Mtaa wa Samora karibu
na Idara ya Habari 'Maelezo' jijini Dar, leo mchana aliacha lindo lake
na kuanza kukamata bodaboda zilizokuwa zikivunja sheria za usalama
barabarani kama anavyoonekana pichani akimdhibiti mwendesha bodaboda.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.