MSHAMBULIAJI
Cristiano Ronaldo jana usiku ameifungia Ureno mao matatu peke yake
ikishinda 3-2 dhidi ya Sweden na kukata tiketi ya kucheza Fainali za
Kombe la Dunia mwakani Brazil.
Ureno
inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mao 4-2 baada ya awali kushinda
1-0 wiki iliyopita nyumbani, bao pekee la Ronaldo. Zlatan Ibrahimovic
alijitahidi kuisaidia timu yake jana na akafunga mabao mawili, lakini
bahati haikuwa yao.
Ronaldo alifunga mabao yake katika dakika za 50, 77 na 79, wakati Ibrahimovic alifunga dakika ya 68 na 72.
KIkosi
cha Sweden: Isaksson, Lustig, Nilsson, Antonsson, Martin Olsson,
Larsson (Gerndt 90), Elm (Svensson 45), Kallstrom, Kacaniklic (Durmaz
82), Elmander, Ibrahimovic.
Ureno:
Rui Patricio, Joao Pereira, Pepe, Bruno Alves, Fabio Coentrao (Antunes
52), Meireles (Carvalho 73), Veloso, Joao Moutinho, Nani, Almeida
(Ricardo Costa 82), Ronaldo.
Portugal's Cristiano Ronaldo celebrates scoring the opening goal
Heads down: Ibrahimovic and his team-mates look dejected after Ronaldo's third goal
Having his say: Ibrahimovic sends home a free-kick piledriver to hand Sweden hope
Meeting of stars: Zlatan Ibrahimovic walks menacingly towards star of the show Ronaldo
Pile-on: Ronaldo is mobbed after his brilliance secured Portugal a coveted spot in Brazil
Portugal's forward Cristiano Ronaldo celebrates with teammates
Duel: Portugal's Pepe controls the ball in front of Sweden's Johan Elmander as they do battle for possession
Centre of attention: Portugal and Manchester United winger Nani leaps for the ball, surrounded by Swedish