Like Us On Facebook

PICHA: AZIKWA AKIWA HAI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MWANAE WA KUMZAA KISHIRIKINA MBEYA.

HILI NI KABURI LA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI KABURI HILI LITAFUKULIWA KESHO NA POLISI
MOJA YA NDUGU WA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI AKIELEZEA KWA KIFUPI JINSI NDUGU YAKE ALIVYOZIKWA AKIWA HAI HABARI KAMILI TUTAWALETEA KESHO MARA BAADA YA KUFUKULIWA MWILI HUO
HILI NI KABURI LA MTOTO WA MZEE ALIYEZIKWA HAI AMBAYE INASEMEKANA BABA YAKE ALIMUUA KIUCHAWI
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari