Irene  Uwoya  hana  UKIMWI.....
Hii 
 si  kauli  yangu...Ni  kauli  ya  Mama  Krish  "Irene  Uwoya"  ambayo  
 imewekwa  katika  ukurasa  wake  wa  Instagram  ikiambatana  na  cheti 
 cha  maabara  kinachoonesha  kwamba  yeye  ni  mzima  wa  afya(  hana  
ngoma )...


Pamoja na ambatanisho hilo, Uwoya amewataka watanzania kujiwekea mazoea ya kupima UKIMWI ili kujua afya zao

