

Kupitia
ukurasa wake wa twitter, Lulu Michael amekuwa akieleza jinsi
anavyokosa usingizi kwa sababu ya dume hilo, hali inayomfanya
akonde na kukongoroka.

Pamoja
na maneno mazuri ya kumtongoza mwanaume huyo, tweet za Lulu
zimeonekana kutokuwa na msaada wowote kwake kutokana na ukweli
kuwa Justine Bieber ni mtu ambaye hajui kiswahili...

Mbali
na kutoijua lugha ya kiswahili, Bieber ni mtu mwenye followers
wengi sana ( 47,180,637 followers ), hivyo ni ngumu sana
kutambua kwamba kuna mtu anayeitwa Lulu Michael.

Zikiwa zimepita wiki kadhaa tangu Johari atimkie Canada kumfuata mpenzi wake, Lulu Michael naye ameanza kujipendekeza kwa msanii Maarufu Justine Bieber kiasi cha kudiriki kumtongoza mtandaoni...