Like Us On Facebook

ZICHEKI PICHA ZA WATUHUMIWA WALIOKAMATWA WAKIFANYA MAZOEZI YA KIJESHI KWA KUTUMIA CD ZA AL SHABAAB WALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO


Hawa  ni  vijana  wa  kitanzania 11  ambao  walikamatwa  na  jeshi la polisi   Mtwara baada ya  kupata taarifa kwamba  walikua wakifanya mazoezi ya kivita kwa kutumia CD za  Al Qaeda na Al Shabaab ambapo walikamatwa na hizo CD  pamoja  na  silaha   mbalimbali  kama  ushahidi...

Taarifa ya jeshi la Polisi leo  imesema kuwa , vijana  hawa walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena tarehe 4 November 2013.

 
 
 
 
 
 


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari