Like Us On Facebook

VIDEO:MKASA WA MWANAMKE ALIYELAZIMISHWA KULIWA "TIGO" NA MUMEWE WA NDOA.

Vitendo vya ukatili wa kijinsia viko vingi na vya aina tofauti tofauti. Kuna wanawake wengine wanafanyiwa vitendo hivi bila kujua kuwa ni kinyume cha sheria na taratibu zilizopo. Sikiliza kisa hiki ambacho sisi tunakiona kama ni sehemu ya ukatili unaofanywa na wanaume wengi kwa wanawake wao. Bi Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Dodoma ni mmoja wa wanawake waliokutwa na mkasa wa kulazimishwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari