Mayasa Mrisho ‘Maya’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Maya alisema uvumi ulionenezwa miezi
kadhaa iliyopita kuwa amechumbiwa ulikuwa una lengo la kumchafua kwani
yeye siku yake ya kuolewa ikifika ataweka hadharani.“Watasubiri sana hao waliozusha suala la mimi kuolewa, sijui hizo taarifa walizitoa wapi. Mimi muda ukifika tu nitawaambia maana wanaonekana wana hamu sana na ndoa yangu,” alisema Maya.