STAA wa sinema za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ amepotea kwenye gemu
chanzo kikidaiwa kuwa ni mapenzi kwani kila mwanaume anayeanzisha naye
uhusiano wa kimapenzi, humzuia kuendelea kufanya kazi za sanaa.
Mwandishi wetu ‘alipomvutia waya’ Skaina, aliambulia majibu ya ‘sintofahamu’ huku akisisitiza kutosumbuliwa.
“Sasa kama umeambiwa hivyo mnachoniuliza hapo ni nini? Kwani lazima niigize mara kwa mara? Mimi naipenda kazi yangu, sitaki maswali zaidi,” alisema Skaina.
-risasi