Like Us On Facebook

JE WAKATI UNAVAA KONDOM UUME WAKO UNALALA..??? PATA SULUHISHO LA TATIZO LAKO HAPA

              Kuna bi dada /BINTI mmoja  aliuliza na alitaka ushauri...na akajieleza kinachomsibu yaani tatizo/swali lake kama ifuatavyo...

"
 naomba niweke wazi, nina mpnz wangu ambaye nampenda sana na mimi pia najua ananipenda anaweza akawa anataka kujegeja na kama mpo mahala pa starehe unaona dushelele limetuna kwenye suruali hata saa nzima huku anakusumbua mkalale.

anakuwa ana nyege, mkifika room dushelele unakuta limesimama kama nguzo ya umeme. 

 

Hatujapima, tunatumia kondom. Tunafanya romance fresh, ila akianza kuvaa kondom tu dushelele linalala na anakuwa mnyonge.

kama sina haraka nkavumilia anarudi katika hali yake na dushelele likisimama lazima anikamue kweli kweli. Tatzo huwa sipati muda wa kutosha ni home wananibana na napata muda mfupi kuwa nae. Sijawah kufanya nae bila kondom
 "

ushauri wenu please....


DADA HUYO ALIMALIZIA KIIVYO....


MAJIBU YA HOJA KUTOKA BAADHI YA WADAU NI KAMA IFUATAVYO ....

  1. Alipiga sana punyeto huyo jamaa ndo maana hali kama hiyo huwa inamtokea. Hali kama hii huwa inanikuta hata mimi mara kadhaa. Dawa ni kuacha kabisa punyeto mambo yatakuwa shwari 

 

2. Mwambie apunguze kitete huyo, Hana tatizo lolote la kiafya, tena ana kitete cha tumboni... 


3. Huyo anaishi au alikwishawahi kuishi na mwanamke kama mme na mke, mara nyingi waliooa au walioishi na vimada kwa muda mrefu matumizi ya kondomu huwa yanawashinda kutokana na mazoea ya nyama kwa nyama.  


4. Inatokea mtu aki sense kitu tofauti na vile anavyodhani, usafi, maumbile nk  


5. Anaangalia porno sana....Mchunguze huenda akawa anapenda sana kuangalia picha za X  


6. Awe anaikunjua kondom yote kwa chini, kuna kifundo kikibaki huku kwenye shina kinakaba sana.  


7. Inawezekana anatumia condom ndogo. Mwambie atumie Magnum, Durex au Rough Rider king size zile fresh. Lakini hizi condom zetu za kawaida zinabana sana mashine.  

 

KUNA WENGINE WALIMKEBEHI NA KUTOA VITUKO KAMA IFUATAVYO.. 

 1. Labda huwa inadhani taa imezimwa na imefunikwa shuka...ndio maana huwa inalala   

 

2. Hivi wewe ukizibwa pumzi utapata nguvu ?  

 

3. heee! Inaogopa kondom? Itakuwa imezoea kuteleza.  

 

4. Unavishwa sweta kwenye joto wewe utakubali? Chezea joto lililopo kwenye kichongeo then liingie na sweta hata mimi ningegoma 

 

 NADHANI MDAU UTAKUA UMEPATA SOMO HAPA....LABDA NA WEWE UNA SULUHISHO LA TATIZO TUNAOMBA UMSAIDIE HUYU BINTI MAWAZO KWA KUKOMENTI HAPA CHINI....

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari