Like Us On Facebook

HII NDO VIDEO YA SNURA AKIKATA MAUNO HADI KUDONDOKA JUKWAANI,HII NDO ILYOCHANGANYA MIDUME MPAKA KUTANGAZA KUMUHONGA MAGARI NA NYUMBA


            Staa wa Majanga, Snura Antony Mushi ‘Snura’ amesema kuwa  mauno  anayoyakata  katika  shoo  zake  yamemfanya  apate  maombi  mengi  toka  wanaume  hasa  waume  za  watu..

Akiongea na mpekuzi wetu, Snura alisema kukata mauno kwenye shoo ndiyo silaha yake ya kuwateka mashabiki  hasa  wanaume  ambao  wengi  wao  wamekuwa  wakimtongoza  kwa  ahadi  ya kumnunulia  gari  na  nyumba....

Unataka  kukiona  kiuno  chake???....Tazama  hiyo  video
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari